Remember AC MilanSipendi kuona downfall ya timu hizi kubwa. Nadhani barca wapo kweny kipind cha mpito tuu.
Wataendeleza kasi yao ya ushindi
This is how football should be played,total control,slowly strangle the opposition and go for the kill.
The original Barca is back.
Semedo keep it up,dont worry about the defence maneno mbele.
Catalan tv is calling this'POETRY IN MOTION'
consistence,hasa ya away games-and we will be home and dry
Gari ya mkaa...
Duh wamezinguana kisa nini?Gari ya mkaa...
Alafu kuna tetesi kuna habari mbaya itawekwa kuacha ya dembele..
Nae messi na bus wmepigana sijui huko.. yaani hatari tupu...
Nnafeeling messi anacheza basi tu ila nafsi haiko barca tena.
Sent using Jamii Forums mobile app

Hapo mkorofi anajulikana ni Toto pendwa mwenye akili kuliko wote hakuna kufichafichaHahaaaa hatari sana, yaani nafikiria kama hawa jamaa walipigana.
Nani ni mkorofi sipati jibu kabisa maana wote ni wapole
Sent using Jamii Forums mobile app
kwakweli hakuna marefu yasio na ncha kuna interview moja Messi alikuwepo ana msifia busquets tena anamuitaga proffeser BusHahaaaa hatari sana, yaani nafikiria kama hawa jamaa walipigana.
Nani ni mkorofi sipati jibu kabisa maana wote ni wapole
Sent using Jamii Forums mobile app
messi mkorofi kweliHapo mkorofi anajulikana ni Toto pendwa mwenye akili kuliko wote hakuna kufichaficha
Hahaaaa hatari sana, yaani nafikiria kama hawa jamaa walipigana.
Nani ni mkorofi sipati jibu kabisa maana wote ni wapole
Sent using Jamii Forums mobile app