FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

wakuu vipi? bado mna hasira na mimi? ukweli utabaki kua ukweli, tatizo letu ni front line, sio possesion. RAha ya mechi bao!
Tikitaka sio suluhisho la matatizo ya barca kwa sasa. Tatizo la barca ni frontline butu na midfield isiyotengeneza nafasi za kutosha.

Kuna maana gani kua na position ya 81% kipindi chote cha kwanza bila kupata goli? Unaenjoy vipi hizi pasi kama upatikanaji wa magoli sio wa uhakika?

Once upon a time, we had xavi and iniesta. Hakika tulienjoy tikitaka sababu waliweza kuhold mpira, kupenya defence ngumu za wapinzani na kutengeneza nafasi za magoli kwa pasi za mwisho zilizokua world class.

Haikua ajabu kushinda goli sita mpaka nane wakati mwingine. Hapa tikitaka ilikua tamu haswa. Sababu tulikua na uhakika wa kupata goli muda wowote.

Mambo yamebadilika wakuu. Viungo tulionao hawafiki hata nusu ya uwezo wa xavi na iniesta. Nafasi zinatengenezwa chache, na uwezo wa ku unlock defence za wapinzani uko chini sana. Tunabaki kutegemea miujiza ya messi tu.

Kama mnakumbuka wakati MSN wanaitawala dunia, kulikua na mabadiliko ya namna tulivyocheza. Tulipiga pasi za harakaharaka na kushambulia kwa spidi from every angle. Tukaiteka dunia.

Nadhani kwa aina ya wachezaji tulionao, ndio mfumo unaotufaa zaidi. Kumuweka griezman apige tikitaka ni kama kumfundisha bata ustaarabu. Ni ngumu sana.

Kwa midfield ya akina rakitic, unaweza kupiga pasi buku jero ambazo hazina madhara kabisa kwa timu pinzani.

Ni either tupate watu sahihi watakao itendea haki tikitaka, au tukubali akina griezman wakimbie na mpira. Tofauti na hapo, tutapiga pasi kama dobi na bado ushindi tutaupata kwa mbinde.

Watu wanapaki, wanakupiga kimoja then wanakuacha upige pasi zako zisizo na madhara. We are better than that.

Nisiwachoshe wakuu, kilichonipoteza humu ni ile trauma ya anfield. Football isn't the same nowadays, imekua ngumu sana kusahau ile kitu.

Adios!

siku niliyoandika haya nilionekana msaliti. watu wakasema ni bora tufungwe ila tiki taka ichezwe. You can pass all night long, but if you dont score, it was all in vain!
 
Ahsante kwa kuliona hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
Barca ni Man u ya Spain siku huyu Messi akiweka chini viatu basi ni kama Sir Ferguson alivyoachia Man u. team imekuwa miaka yote kucheza kwa ajili ya Messi hii team itakuja kupata tabu sana kuja kukaa sawa. Team lazima iwe na mfumo halafu wachezaji wa fit mfumo sio team ifit mfumo wa mchezaji hayo ni majanga.
 
Mzee nami narudia tena ... hakuna barca fan ambaye hajui kwamba tunahitaji wachezaji mbele na nyuma hilo halina ubishi na linaeleweka..
ndio maana ilikua furaha sana kwa baadh ya watu kuumia kwa suarez ili angalau tujaribu na kitu tofauti tulicho nacho...

Hatukua na imani na consintency ya suarez tangu enzi za valverde kibaya thats not up to us kudecide..

So hadi wafanye maamuzi wao unless otherwise sisi tutaendelea tu kusapoti timu yetu kwa maumivu hivo hivo..

Kunatimu zinapitia magumu bora ya sisi ambao atleast tumeonesha tunahitaji changes kwa kuanzia na kocha.
wakuu vipi? bado mna hasira na mimi? ukweli utabaki kua ukweli, tatizo letu ni front line, sio possesion. RAha ya mechi bao!

siku niliyoandika haya nilionekana msaliti. watu wakasema ni bora tufungwe ila tiki taka ichezwe. You can pass all night long, but if you dont score, it was all in vain!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pasi nyingi bila magoli ni upuuzi mtupu tu,show off haina maana kwenye footbal kama huna uwezo wakushinda game,
Frontline line ya Barca imekufa.
 
Mzee nami narudia tena ... hakuna barca fan ambaye hajui kwamba tunahitaji wachezaji mbele na nyuma hilo halina ubishi na linaeleweka..
ndio maana ilikua furaha sana kwa baadh ya watu kuumia kwa suarez ili angalau tujaribu na kitu tofauti tulicho nacho...

Hatukua na imani na consintency ya suarez tangu enzi za valverde kibaya thats not up to us kudecide..

So hadi wafanye maamuzi wao unless otherwise sisi tutaendelea tu kusapoti timu yetu kwa maumivu hivo hivo..

Kunatimu zinapitia magumu bora ya sisi ambao atleast tumeonesha tunahitaji changes kwa kuanzia na kocha.

Sent using Jamii Forums mobile app
uko sahihi mkuu. Ila kwa mawazo yangu tiki taka imekua outdated. Nilisema hapa, wapinzani wameshajua dawa yake. Wanapaki, wanatupiga kimoja then wanatuacha tunapiga pasi zetu hata ziwe elfu kumi. We need to play attacking football
 
MSN kwenye ubora wao walibadilika, kutoka pasi nyingi fupi fupi mpaka pasi za haraka haraka. walipiga mpaka counter attacks kwa speed ya kufa mtu. leo tuna dembele mwenye spidi kama usain bolt, ila tunataka agonge pasi. tutamchukia tu asee. tikitaka leo inataka kutuaminisha roberto anajua kumzidi semedo, kuna kitu hakiko sawa!
 
Niliutazama mchezo wa jana na kwa elimu yangu ya kawaida kabisa ya ukocha nimeona wazi timu hii inaweza kuwa timu ya daraja la kawaida muda si mrefu na hasa Messi akistaafu maana hadi sasa ni uwepo wa Messi tu uwanjani unaoleta tumaini la kupata japo bao moja bila yeye timu inakuwa kama wanamgambo tu.
Wakati natazama niligundua kuwa wachezaji wa barca hawajiamini kwenye mpira hasa linapokuja suala ya kushambulia yaani wanacheza kama wanaliogopa goli la wapinzani sasa utapataje goli wakati sehemu ya kushoot wewe unarudisha mpira nyuma? Sehemu ya kulazimisha kuingi kwenye box wewe unarudisha mpira kwa mtu aliyeko katikati ya uwanja ukijitahidi unatazama Messi yupo wapi atufungie maana yeye anaweza yasiyowezekana (nawaza ndivyo wanavyofikiri) jambo ambalo binafsi naliona haliisaidii timu , hebu fikiria leo Messi akiumia itakuwa vipi si ni majanga ya mwaka? Na kuna shida naiona kwa kocha huyu ni kama anawazuia wale wafungaji zaidi kutocheza walivyozoea kufunga kwa mfano :- Arturo na Rakitic ni wafungaji wazuri sana wa mabao hata nje ya box lakini ndiyo kwanza mechi muhimu anawaweka benchi na walivyoingia tu tukaona timu inaongeza ushambuliaji na kama si bahati basi yangerudi kama si 2-1 .

Solution
Timu inapaswa kucheza katika mfumo wa Kushambulia zaidi +possession kiasi yaani tupossess zaidi wakati tunaoona tuna faida may be tushapata bao au mabao lakini lengo ikiwa ni kuwavuta wapinzani ili tuwapige bao jingine watakapozubaishwa na umiliki wetu maana lazima wataacha mianya tu iwe isiwe maana watakuwa wapo bize kusaka goli lazima wazibuke .Mfumo huu aliutumia sana Luis Enrique yaani kucheza kwa kuzingatia timu pinzani inacheza vipi maana huu mpira wa kwenda ati mimi huwa ninacheza hivi lazima iwe hivyo utatugharimu lazima tuwe na mfumo ambao ukiamua kuposess unapossess ukiamua kaunta unapiga ilimradi matokeo yapatikane.Rejea Mechi na Real Madrid nadhani alikuwa Sergi Roberto alivyokimbia na mpira kutoka nje ya box la goal la barca tena pembeni akaukata uwanja akaingia jirani na box la madrid akaachia mpira kwa mtu wa kushoto then yule akaurudisha kati Messi akafunga goli saafi kabisa at the end tukashinda tu.Timu yoyote ikikaririka ni suala la muda tu dawa yake inatafutwa ndiyo maana hata Guardiola kaifanyia madodo tiktak kwa kuongeza kasi na nia ya kusaka goli kuliko kupossess bila faida yoyote ya maana , possess ila mpinzani akione cha moto kwa kupelekeshwa alazimishwe kufanya makosa na aadhibiwe.Kwa kuwa wachezaji wengi wa kwetu ni wajuzi wa kupossess wanaweza kuplay hata counter nzuri sana kwa possession za haraka na passi zenye macho sio unamfundisha Fati mechi nzima kapiga back pass 97% na eti huyo ndiye mshambuliaji wa pembeni 😂😂😂 anayetegemewa kuvunja ngome awarahisishie washambuliaji wa kati wafunge
Katika uzoefu wangu wa kufundisha mpira naamini kufunga goli ni jambo la muhimu kuliko kuintertain watu kwa chenga na matatizo yaliyoonekana kwa barca mechi ya Ibiza na Valencia ni tabia iliyowakuta Simba last Champions league hadi kocha wa As Vita akasema tatizo Simba wanacheza square passes nyingi yaani wanacheza mipira isiyolenga kuwafanya wapinzani wauone mpira nyuma yao yaani ninyi mnacheza kama mnawatishia vitumbua 😂😂😂 mkinyang'anywa jamaa wanapiga pasi tatu bao tayari mnabaki kushangaa tu.
Mara kadhaa nimewahi kuongoza timu za huku mitaani kucheza na timu yenye uwezo wa kupossess zaid ya ile ya kwangu ninachokifanya ni kuwaambia wachezaji kila dakika wasome madhaifu ya wapinzani wao wao wenyewe ndani ya mchezo na wayatumie vizuri maana naamini hakuna timu isyo na udhaifu na kazi ya kocha ni kuwaambia wachezaji watumie madhaifu na makosa hayo kupata matokeo na I have stunned many local teams to glory watu wanaweka pesa tunazikamata mbele ya timu nzuri pengine kuliko sisi.Sina show game na mchezaji anayecheza kwa kuwategea wenzake kwangu ni adui namtoa kafara akae njee nikisema 100% fuata maelekezo tu usipinde.
Setien ajue Barca ni timu ya makombe yeye afanye kazi kuyaleta tu hatujazoea kusindikiza watu sisi ,akiona mfumo umejulikana achange within the pitch tupate matokeo pass zikipigwa sana ila ni back au square pass tu hata mimi hunifungi labda unibahatishe kwa faulo au uzembe wa wachezaji wangu tu.Acha wakimbie na mpira linda goli tu hakikisha wakicheza pembeni wanaishia kupassiana pasi kurudi golini kwake ndiyo formula rahisi kucheza na timu zinazoamini possessive football tu.
 
uko sahihi mkuu. Ila kwa mawazo yangu tiki taka imekua outdated. Nilisema hapa, wapinzani wameshajua dawa yake. Wanapaki, wanatupiga kimoja then wanatuacha tunapiga pasi zetu hata ziwe elfu kumi. We need to play attacking football
Pasi ziko slow sana yani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi Pep au Luis Enrique hawawezi rejea tena?
Mapinduzi makubwa yanatakiwa hapa kikosi lazima kivunjwevunjwe....maamuzi ya kusajiri yanachelewa mno...wakati wachezaji wengi tu wazuri wapo katika hizi ligi kubwa sijui kwanini huwa tunajivuta..eti sasa hivi ndio tunamtaka aubemeyang

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee wa kazi vidal
IMG_20200130_224133_135.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom