FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

hii timu ilishajifia toka msimu uliopita barca nje ya nou camp n kama namungo fc na uwanja wa majaliwa

mashabik wa hii timu wakiambiwa ukwel huu huwa wanakuwa wakali sana

na UEEFA round inqyofuata mkianzia nyumban kumalza ugenn safar inawahusu

safar hii hata kikombe cha alkasusu hambebi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sipendi kuona downfall ya timu hizi kubwa. Nadhani barca wapo kweny kipind cha mpito tuu.
Wataendeleza kasi yao ya ushindi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom