FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Grienzy bado kweli yaabi daah
Griez bado anahitaji darasa la tiki taka,positioning acumen yake bado,its goalless halftime,but DNA ya Barca imerudi-total control. Hapa kakosa Suarez-the tiki taka on show angekuwa amesharudi.Hata defence inaonekana in total control. The good times are coming back

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Messi leo touch zimekana kapoteza sana na yeye..

Busquet huyu jamaa anacheza kama hataki lkn ni mtam ... ananyumbulika kama ataki vile kumbe ndio ushafinywa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
La Liga: Msimamo wa ligi baada ya mechi za jana (19/1/2020).

#TeamPLWDL+/-GDPTS
1Barcelona20134350-232743
2Real Madrid20127138-132543
3Atletico Madrid2098322-14835
4Sevilla20105525-20535
5Getafe2096529-20933
6Real Sociedad2094733-28531
7Valencia2087530-29131
8Athletic Club2079421-14730
9Villarreal2084834-28628
10Granada2083925-26-127
11Real Betis2076729-32-327
12Levante20821026-30-426
13Osasuna20510526-25125
14Deportivo Alaves2065921-29-823
15Real Valladolid20410617-23-622
16Eibar20641020-29-922
17Mallorca20531222-34-1218
18Celta Vigo20371017-30-1316
19Leganes20351216-33-1714
20Espanyol20351216-37-2114
 
1st goal.Messi
1579497994480.gif
 
Tikitaka sio suluhisho la matatizo ya barca kwa sasa. Tatizo la barca ni frontline butu na midfield isiyotengeneza nafasi za kutosha.

Kuna maana gani kua na position ya 81% kipindi chote cha kwanza bila kupata goli? Unaenjoy vipi hizi pasi kama upatikanaji wa magoli sio wa uhakika?

Once upon a time, we had xavi and iniesta. Hakika tulienjoy tikitaka sababu waliweza kuhold mpira, kupenya defence ngumu za wapinzani na kutengeneza nafasi za magoli kwa pasi za mwisho zilizokua world class.

Haikua ajabu kushinda goli sita mpaka nane wakati mwingine. Hapa tikitaka ilikua tamu haswa. Sababu tulikua na uhakika wa kupata goli muda wowote.

Mambo yamebadilika wakuu. Viungo tulionao hawafiki hata nusu ya uwezo wa xavi na iniesta. Nafasi zinatengenezwa chache, na uwezo wa ku unlock defence za wapinzani uko chini sana. Tunabaki kutegemea miujiza ya messi tu.

Kama mnakumbuka wakati MSN wanaitawala dunia, kulikua na mabadiliko ya namna tulivyocheza. Tulipiga pasi za harakaharaka na kushambulia kwa spidi from every angle. Tukaiteka dunia.

Nadhani kwa aina ya wachezaji tulionao, ndio mfumo unaotufaa zaidi. Kumuweka griezman apige tikitaka ni kama kumfundisha bata ustaarabu. Ni ngumu sana.

Kwa midfield ya akina rakitic, unaweza kupiga pasi buku jero ambazo hazina madhara kabisa kwa timu pinzani.

Ni either tupate watu sahihi watakao itendea haki tikitaka, au tukubali akina griezman wakimbie na mpira. Tofauti na hapo, tutapiga pasi kama dobi na bado ushindi tutaupata kwa mbinde.

Watu wanapaki, wanakupiga kimoja then wanakuacha upige pasi zako zisizo na madhara. We are better than that.

Nisiwachoshe wakuu, kilichonipoteza humu ni ile trauma ya anfield. Football isn't the same nowadays, imekua ngumu sana kusahau ile kitu.

Adios!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom