FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Wakuu salama?PRAISE TO DE JONG

Yale mambo aliyoyafanya jana hata mwenyewe sijaelewa yaani tactically ,Jamaa all over the pitch alikua anaonekana sio kwenye kukaba ,kushambulia wala ku win mipira
Kuna muda niliona anacheza kama beki 4 (tukiwa tunashambuliwa) hii ilileta balance kwa Umtiti na Lenglet (central defence ) kuna muda nilimuona katikati anasuka Mipango na ku press kwa opponents hii ilimletea relief kwa Arthur Mello na Busquets ,
Kuna muda nilikua namuona right wing akichezana Messi kwa ku switch position yaani Messi anaingia ndani (kama kawaida yake ) na space ina be occupied na De Jong kama right winger ....,alishangaza zaidi kuna muda Semedo anapanda kushambulia De Jong anakua ame occupy position ya RB (praise to him)

Kuna time mpira ukiwa upande wa kushoto ..Griezman anaingia ndani (katikati ),De Jong anakaa higher position ya Alba (Inverted LB) Halafu anachonga passes kwa Alba (anakuwa winger) za kwenda kushambulia

Kwenye transitions of balls tukinyang'anywa namuona mpira unakua mbele yake kufanya tackling ...aisee very interesting inailetea team balance especially wakati tunashambuliwa na kutengeneza mipira

Praise to him naona sasa Velverde ameanza kumtumia ipasavyo kijana

Halafu..hivi Umtiti aliumia kweli?Zile curved passes alijifunza lini? ,yeye na Busquets wananyanyua passes juu hadi zinawafikia akina Messi na Griezman ...this time team ambazo zina press sana wajiangalie mno....

WE ARE COMING FOR TREBLE
 
Em tungoje nxt feature kwanza

ngoja tuone
 
Ni heshima kubwa sana kwa Messi endapo namba yake hatapewa mtu mwingine...so Kwa mtazamo wangu makamanda wangu namba 10 asipewe mtu mwingine...ibakie kama kumbukumbu kwa mfalme huyu!
Napinga mkono hoja hii

hakuna haja ya kustaafisha jezi wapewe vijana hiyo jezi
 
Netherlands head coach Ronald Koeman could move to Barcelona in 2020. After Dutch Football Federation (KNVB) sporting director Nico-Jan Hoogma confirmed Koeman has a specific release clause in his contract built around his former club, Marca has linked the ex-Barca defender to Camp Nou.
 
Bookmakers Spain uki bet kwamba Messi atafunga goal utapewa pesa kubwa kuliko ukibet kwamba Suarez atafunga goal-in other words Suarez lazima atapata goal hence wanaliwa.
Mjadala umeibuka na ume divide opinions-
Je Suarez ana bahati tu?
Je positioning sense yake ndio inamsaidia-
Au ni mchezaji mzuri?
Kitu kimoja wote wanakubaliana-Suarez atafikisha goal 20 bila wasiwasi na hence haiwezekani kuwekwa bench.
Mnakubaliana na huu uchambuzi wa gazetti la "Le Mundo"?
 
Kama kuna M2 nilikua Sina mashaka na uwezo wake na sitakua na mashaka nae kbs maana najua Ni mchezaj mzr na mwny akil ya mpr basi ni DE Jong.. Dg anatumia sna akil na ndio Aina ye2 ya wachezaj
Wakuu salama?PRAISE TO DE JONG

Yale mambo aliyoyafanya jana hata mwenyewe sijaelewa yaani tactically ,Jamaa all over the pitch alikua anaonekana sio kwenye kukaba ,kushambulia wala ku win mipira
Kuna muda niliona anacheza kama beki 4 (tukiwa tunashambuliwa) hii ilileta balance kwa Umtiti na Lenglet (central defence ) kuna muda nilimuona katikati anasuka Mipango na ku press kwa opponents hii ilimletea relief kwa Arthur Mello na Busquets ,
Kuna muda nilikua namuona right wing akichezana Messi kwa ku switch position yaani Messi anaingia ndani (kama kawaida yake ) na space ina be occupied na De Jong kama right winger ....,alishangaza zaidi kuna muda Semedo anapanda kushambulia De Jong anakua ame occupy position ya RB (praise to him)

Kuna time mpira ukiwa upande wa kushoto ..Griezman anaingia ndani (katikati ),De Jong anakaa higher position ya Alba (Inverted LB) Halafu anachonga passes kwa Alba (anakuwa winger) za kwenda kushambulia

Kwenye transitions of balls tukinyang'anywa namuona mpira unakua mbele yake kufanya tackling ...aisee very interesting inailetea team balance especially wakati tunashambuliwa na kutengeneza mipira

Praise to him naona sasa Velverde ameanza kumtumia ipasavyo kijana

Halafu..hivi Umtiti aliumia kweli?Zile curved passes alijifunza lini? ,yeye na Busquets wananyanyua passes juu hadi zinawafikia akina Messi na Griezman ...this time team ambazo zina press sana wajiangalie mno....

WE ARE COMING FOR TREBLE
 
Anafikisha 20 msimu huu
Bookmakers Spain uki bet kwamba Messi atafunga goal utapewa pesa kubwa kuliko ukibet kwamba Suarez atafunga goal-in other words Suarez lazima atapata goal hence wanaliwa.
Mjadala umeibuka na ume divide opinions-
Je Suarez ana bahati tu?
Je positioning sense yake ndio inamsaidia-
Au ni mchezaji mzuri?
Kitu kimoja wote wanakubaliana-Suarez atafikisha goal 20 bila wasiwasi na hence haiwezekani kuwekwa bench.
Mnakubaliana na huu uchambuzi wa gazetti la "Le Mundo"?
 
Wanasema hakua anajisikia vizuri..

Ila msimu huu kama trident hii itaendelea vile anafikisha
Uki bet kwamba Suarez hatafikisha goal 20,unalipwa pesa ndefu-cause bookmakers wanajua fika watakula hela yako.
Huyu Umtiti majeruhi tena? Whats happening
 
Kama kuna M2 nilikua Sina mashaka na uwezo wake na sitakua na mashaka nae kbs maana najua Ni mchezaj mzr na mwny akil ya mpr basi ni DE Jong.. Dg anatumia sna akil na ndio Aina ye2 ya wachezaj
Toa busquets weka De Jong, kati pale weka De Jong, Arthur na Rakitic au hata na vidal.

Hapo kati hapakuwa na watu wa kupaka rangi mpira.
 
sio kosa lako kumtukana proffesor bus tatizo akili yako
 
Uwepo wa busi utategemea na mechi ikoje.. ni n
Backbone ya timu haonekani lakini wataalam wa soka wanaelewa anachofanya kati pale
Mkuu umepotea, hamna backbone pale, busquets kwa soka la sasa haendani nalo.

Soka la kupooza mpira kwa sasa halipo tena, soka linahitaji vijana damu inayochangamka muda wote wanapanda na kushuka kama akina De Jong.

Siku hakuna haja ya kukaa na kusema nimepiga pasi ngapi na ngapi zimefika, ngapi hazijafika.

Busquets mpira wake umepooza sana, akae tu benchi mbele ya De Jong.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom