FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Leo naona Griezman kacheza the Barca way-Hii trio ikiclick alaafu ukamtupa Dembele in the mix nothing can stop us
 
Eibar 0-3 Barca, Full time:

Griezman 1, assist by lenglet
King 1, assist by Griezman
Mnyama 1, assist by King
 
Licha ya hivyo.. hii inahusishwa na harakati za kisiasa.
Maandmano ya wakatalunia kwajili ya kudai uhuru wao, wanataka yaende worldwide kupiti influence ya classico.
Na wahispania hawawezi wakaruhusu hii ila ofkoz jamaa wangejitangaza mnooo.
 
Ni heshima kubwa sana kwa Messi endapo namba yake hatapewa mtu mwingine...so Kwa mtazamo wangu makamanda wangu namba 10 asipewe mtu mwingine...ibakie kama kumbukumbu kwa mfalme huyu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom