FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Mkuu umepotea, hamna backbone pale, busquets kwa soka la sasa haendani nalo.

Soka la kupooza mpira kwa sasa halipo tena, soka linahitaji vijana damu inayochangamka muda wote wanapanda na kushuka kama akina De Jong.

Siku hakuna haja ya kukaa na kusema nimepiga pasi ngapi na ngapi zimefika, ngapi hazijafika.

Busquets mpira wake umepooza sana, akae tu benchi mbele ya De Jong.
Na anaanza leo utaona
 
Mfumo wa Barca-Busquets kukaa nje ni ngumu sana-hao wengine itabidi wasubiri
 
Barca kwanini hawa high press-wanakaa sana nyuma hence inviting attacks
 
Match kama ya leo ina advantage ukimuingiza Dembele mapema akacheza kule right wing (naona Semedo anapata chance nzuri sema shida ku exploit -good/key pass au scoring)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom