Statesmann
JF-Expert Member
- Jul 16, 2019
- 2,344
- 3,465
Safi kabsa mkuu sioni haja ya kistaafisha jeziJersey haiwezi kustafu hasa namba 10, japo heshima ya hiyo jersey inabaki kutambulika..
Number haiwezi badilika isipokuwa majina hubadilika...
Jersey ya Messi itatundikwa kama kumbukumbu na watakaokuja watavaa namba 10 wataweka nao history zao...
Kuna namba wachezaji wakizivaa zinawapa motivation mfano 11,10, 9, 8, 7, 6, nk huwezi kuziacha kuzitumia
Messi alikabidhiwa namba 10 na Ronadinho nayeye hivyohivyo kwa heshma ataikabidhi kwa mtu ambaye atadhani anaweza fit na hiyo namba..
Heshima siyo kuiweka jersey isitumike ila ni kuwapa wachezaji wenye sifa za hiyo jersey na kutambua wajibu wao..
vijana wapewe nafasi ili nao waweke rekodi zao