FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Hahahaha huyu mzee anataka nini.... kupruv kwamba anaiweza barca
IMG_20191006_205306_346.jpeg
 
Huyu referee Matheo Lahoz nimeamini kabisa hatupendi Barcelona na ni Madrista

Tusi zito limfikie atakalala huko,who straight red card?upaa wake kama nyumba ya babu
 
Huyu referee Matheo Lahoz nimeamini kabisa hatupendi Barcelona na ni Madrista

Tusi zito limfikie atakalala huko,who straight red card?upaa wake kama nyumba ya babu
Huyu refa sijui ana nini na Barca, hakunaga jema, usiombe achezeshe El Classico.
 
Huyu referee Matheo Lahoz nimeamini kabisa hatupendi Barcelona na ni Madrista

Tusi zito limfikie atakalala huko,who straight red card?upaa wake kama nyumba ya babu
Fala sana alitamani iwe ndani ya BOX atoe penati
 
Barca mmenifurahisha sana 👏 👏 👏 japo defence yetu nayo hoi 😔 Shukran zimfikie goal keeper bora wa dunia kwa sasa, jamaa kaokoa sana...

King, Mungu anakuona ujue 😀😀..Dembele umepiga mpira mzuri sana, kaza buti babaa.
 
Semedo,siku zote akicheza hivi Barca hawezi pata shida-fullback Barca ina maana unashinda kwenye half ya opposition.
Semedo a forage mbele na J Alba nae ashinde mbele-nobody can hold us down.
Duuh!!! Dembele akitazama that open goal he missed,lazima alie machozi
 
Jersey haiwezi kustafu hasa namba 10, japo heshima ya hiyo jersey inabaki kutambulika..

Number haiwezi badilika isipokuwa majina hubadilika...

Jersey ya Messi itatundikwa kama kumbukumbu na watakaokuja watavaa namba 10 wataweka nao history zao...

Kuna namba wachezaji wakizivaa zinawapa motivation mfano 11,10, 9, 8, 7, 6, nk huwezi kuziacha kuzitumia

Messi alikabidhiwa namba 10 na Ronadinho nayeye hivyohivyo kwa heshma ataikabidhi kwa mtu ambaye atadhani anaweza fit na hiyo namba..

Heshima siyo kuiweka jersey isitumike ila ni kuwapa wachezaji wenye sifa za hiyo jersey na kutambua wajibu wao..
Semedo,siku zote akicheza hivi Barca hawezi pata shida-fullback Barca ina maana unashinda kwenye half ya opposition.
Semedo a forage mbele na J Alba nae ashinde mbele-nobody can hold us down.
Duuh!!! Dembele akitazama that open goal he missed,lazima alie machozi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom