FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Well said mkuu, Busquets apumzishwe tu. Awe anatokea Sub Strategically tu

Gemu ya Inter Juzi hadi Valverde mwenyewe alimuona jinsi alivyozidiwa akampiga Sub
Kbs mkuu.. Anatuchoma sana mzee na sik iz anapoteza mpr kirahic inakua tabu balaa tunaanza kusakwa kama wezi
 
Hizi twins arthur na de jong zinatembea hatari kama wamekaaa academy moja..... Ngoja wapate kocha ndio dunia itajua balaa lao sio huyo kazi kuchuchumaa na kusimamia mazoez
Mimi mkuu nawaambia watu akipatikana kocha akawa anawaamini awa vijana kwny midfield😀e Jong(anacheza 6 ya Bosquets), Arthur(no8 ya Iniesta) na Alena.. Hawa vijana ukiwapa trust na kuwaamin wanaweza Saidia team wata deliver.. Kuliko kua unangangania magari ya mkaa ambayo yamechoka kila sik yanatuchoma tu.. Vidal kwng ni backup mzr sna tena sna wa kikosi ktk midfield jamaa ukimpa kazi atafny kwa roho moja kbsa bila matatz
 
Hao ulowataja kwa sasa wako fire kamanda...hilo jambazi la CHILE acha kabisa...babu anatuangusha kumweka bench
 
Match ya kesho,Dembele akae kushoto,Messi kulia,kati Griezman-Suarez akae bench.
Tunataka tumuone Griezman-is he being played out of position? OR is he another Cotinho?
 
Match ya kesho,Dembele akae kushoto,Messi kulia,kati Griezman-Suarez akae bench.
Tunataka tumuone Griezman-is he being played out of position? OR is he another Cotinho?
je coutinho bayern anafanya nini now?
 
Naona forward zote kazini leo
IMG_20191006_090436_587.jpeg
 
je coutinho bayern anafanya nini now?
Cou ni bonge ya mchezaj.. Sema kuna mamb makuu ma2 nafas ambayo yy anapenda kucheza ni Nafas ya Messiah, kwhy ilo halina hata mjadala hawez kucheza pale.. Cha pili, tuna kocha mpumbav mwny tactics za kishenz sna hawez nyumbulika kuweka kuAccomodate wachezaj kama Cou kwny kikosi maana hana mbinu mbadala..ndo maana Cou kashndw kufaulu barca lkn Cou ni world class player
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom