3llyEmma
JF-Expert Member
- Oct 23, 2017
- 6,172
- 6,885
Kabisa..Psg wakikaza sana
CL wanachukua.. wanawachezaji wazuri sana sema hawana beki jeuri kama timu nyingine.
Kabisa..Psg wakikaza sana
CL wanachukua.. wanawachezaji wazuri sana sema hawana beki jeuri kama timu nyingine.
amenijibu wapi...
Goli la pili ni juhudi binafsi za Messi..
Meanwhile, sote tunajua Suarez akiwa away huwa anafanya nini..
Sometimes naona ni kheri kumchezesha messi kama False no 9 kama enzi zile sababu yupo clinical zaidi
Mkuu.. Siwez kuongea vzr zaid ya ulivo ongea ww hapoIlishawahi kuzungumzwa humu, Busquets ana mpira wa kupooza, yupo tayari arudishe pasi nyuma ili tu mwisho wa mechi aonekane hajapoteza pasi.
Busquets hawezi kurisk pass, hii ndo shida yake. Na ana mpira wa slow sana, zile one two kwenda mbele siku hizi hana. De Jong na Arthur hizi ni mashine mpya, hawa watoto mpira wanaujua mno.



De Jong akae ile nafasi na pia Arthur awe anaanza, ubaya unakuja kwamba tulimtoa Coutinho, angepata namba pale kati.
Busquets, Pique hawa mpira umeshaisha, wanachezea uzoefu tu. Na yule lenglet muda mwingine anazingua, sio beki ya kuiamini sana. Pale mashine ni semedo na walau roberto, sio rahisi kupoteza mipira hawa na wapo tayari kujaribu kwa namna mbalimbali.
Umtiti anatakiwa kupona na kurud dg asifikir iyo nafas ni yake jumlaKweli lenglet pale tatizo
IT is now quite clear kama ukifanya in depth observation,not every world football star can function at Barcelona.We need this man
He lost De Ligt, Frenkie & Schöne and is currently leading the Eredivisie with 27 goals scored, and conceding only 6. And leading the Champions League Group with 6 points out of 2 games, 6 goals scored, 0 goals conceded + great football.
Eric ten hag
Not only world class player but also some managers ....IT is now quite clear kama ukifanya in depth observation,not every world football star can function at Barcelona.
Barcelona style of play imewashinda wengi-ndio maana we wanted Neymar back.
Team zinazo sit back na ku hit on the break ndio our worst nightmare-na working flanks ndio dawa which kwa sasa ni 50/50.
No J Alba and we are sitting ducks
Barca wanamzingua, Umtiti ni mashine ile Mkuu.Umtiti anatakiwa kupona na kurud dg asifikir iyo nafas ni yake jumla
Hahahahahah Mkuu umemaliza.Not only world class player but also some managers ....
Tena sna asee yule jamaa apone arudi hlf naomba sna board waache upuuz huu ndo mwaka wa mwsh Pique kucheza vyote vyote vile wafanye De ligt ajeBarca wanamzingua, Umtiti ni mashine ile Mkuu.
Well said mkuu, Busquets apumzishwe tu. Awe anatokea Sub Strategically tuYan baba Shakira na alivo slow anatuchoma mbyaa.. Bosquets asee sioni sbb yoyote saiv awe anaanza kwa sbb De Jong ile ndo nafas yake kbsa na ndo anapenda kucheza.. Bosquets awe tu anaanzia bench
Sio Busquets tu, na Valverde pia.Tena sna asee yule jamaa apone arudi hlf naomba sna board waache upuuz huu ndo mwaka wa mwsh Pique kucheza vyote vyote vile wafanye De ligt aje
Ni nani huyu?Tetesi zinasema huyu jamaa anaweza akawa kocha wa. Barça View attachment 1223553
Hizi twins arthur na de jong zinatembea hatari kama wamekaaa academy moja..... Ngoja wapate kocha ndio dunia itajua balaa lao sio huyo kazi kuchuchumaa na kusimamia mazoezIlishawahi kuzungumzwa humu, Busquets ana mpira wa kupooza, yupo tayari arudishe pasi nyuma ili tu mwisho wa mechi aonekane hajapoteza pasi.
Busquets hawezi kurisk pass, hii ndo shida yake. Na ana mpira wa slow sana, zile one two kwenda mbele siku hizi hana. De Jong na Arthur hizi ni mashine mpya, hawa watoto mpira wanaujua mno.
Ni nani huyu?