Franklin1902
JF-Expert Member
- Aug 1, 2018
- 2,241
- 4,876
Watu wengne hawatak kukubali lkn Bosquets sio tena m2 reliable mda wake unaisha na iyo nafas yake De Jong anaweza kucheza vzr kbs maana ndo anapenda kucheza hata akiwa HollandMkuu msimu ujao au januari tutafute mbadala ya busquets, mpira umeshaisha pale.
Ulibid uwe na akiba ya maneno amekujib