Limetimia duhGriezman atolewe aingie Dembele kabla dk 65 haijafika
itanibidi nijongee hapoBae, niko na wewe paja kwa tako nakupa kampani kuangalia hii mechi ya mpira kisha tukalale.
Hapa niko na juisi yakoya ukwaju nami niko na juisi ya miwa, karibuu.
Matata K.
subiri, 1-1Soma hiyoooooooooo
Kigoli chenyewe cha mbindesubiri, 1-1
la kwanza umeliona?Kigoli chenyewe cha mbinde
Mkuu msimu ujao au januari tutafute mbadala ya busquets, mpira umeshaisha pale.Second half tunamaliza game msijali ...
We are going to nail it totally 100% We need suppressive midfielder mmoja ,Busquets apumzishwe ,dk 55 Dembele aingie,Suarez apumzike wafanye switching na Messi akae kama fake 9 tunashinda goli nyingi tu ,japo jamaa wana defend deep sana
Kigoli chenyewe cha mbinde
kila nikimuona Suarez kwenye lineup nahesabu Barca tupo 10,,,,
useless striker hasa kwenye champions league ambapo kila mwaka anamaliza na goli 1
Ulibid uwe na akiba ya maneno amekujibBosquets ana slow sna game na anatkiwa apewe much resting time Vidal awe anaanza mda mwngne RakiticKula kila sababu Artulo Vidal awe anaanza match
Velverde afanye iwezekanavyo is good kwenye kunyang'anya mipira na one to one pressing
Halafu jamaa kifua chake kama ana air conditioner kudadadeki ,anakimbia muda wote kama mbwa mwitu