FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Mkuu yule jamaa si wa Umri wa miaka 31

Yani Messi awe Mkubwa kuliko yeye halafu anashindwa hata kukimbia, Yani anakimbia kama Kiboko.

Miaka 31 ni umri wa kawaida sana.

Yule nakwambia hapungui 35
Suarez anazingua ktk kushinda tu sio kukimbia.
Na yule mazoezi siku hzi hana.
Ukisema hivyo kuna Andre Gomez utumbo kabbisa na umri wake mdogo lakini Ibrahimovic anafanya kazi kuliko yeye.
 
Nano aliyekudanganya kuwa Ulaya watu hawadanganyi!

Mbwana Samatta yupo wapi kama sio Ulaya?

Mimi ninamfahamu Mbwana Samatta long time ago na ni Mkubwa kuliko mimi! Lakini Mimi nimeshavuuka umri kwenye 30 wakati yeye hajafika hata umri wa hiyo 30.

Pia na Naby Keita wa Liverpool eti vile alivyo ana umri wa miaka 23 unadhani hajadanganya? Yule anagonga hata miaka 27.

Nakuambia Suarez kafoji miaka
Hilo kwa mm sijalithibitisha.
 
Mourinho aliwahi ku doubt umri wa Eto
Kanu naye amewahi leta mjadala mkubwa wa umri wake
 
World cup ya vijana,macho yote ni kwa timu za Africa-maana mchezaji halingani na umri wake
 
Ndio hapa namshangaa huyu jamaa.
Ilhali wale wanafuatilia records zako zote.
Labda ufoji birth certificate na hauwezi kwasababu toka unazaliwa birth certificate kimeshatengenezwa mwaka husika uliozaliwa.
Ulaya,hata America kusini huwezi ongopa umri-hilo linawezekana Africa peke yake-records zipo toka unazaliwa mpaka shule zote ulizopitia
 
Ndio hapa namshangaa huyu jamaa.
Ilhali wale wanafuatilia records zako zote.
Labda ufoji birth certificate na hauwezi kwasababu toka unazaliwa birth certificate kimeshatengenezwa mwaka husika uliozaliwa.
Kwa ulaya na america sijui ila Afrika kufoji cheti cha kuzaliwa ni jambo la kawaida tu.
 
Fabian Ruiz kiungo dogo wa Napoli ashawekwa kwenye rada za barcelona
Mwanzoni alikua akikipiga Real betis..barca wamekua wakimfuatilia tangu hapo...nia ni kutengeneza utatu wa viungo vijana De jong,Arthur na Ruiz....pengine washaona uzee unakaribia watu kama Sergio busqet
 
Mimi nasema hivi lile soka la kupoza kwa mpira pale Barca kwa sasa halina nafasi tena.

Barca haina haja ya kuendeleza huu mpira, na huu mpira mwenye nao ni Busquet pale kati.

Ikikaa midi nyingine ya kuchanganya na tukawa na forward line nzuri yenye watu wenye kasi kama Messi, Griezmann na Neymar hii timu itatisha japo suarez umakini wake kupungua ni kutokana na umri ila ni moja ya washambuliaji wazuri.
 
Mpaka Barça inatambulika ni kwa sababu ya huo mpira ambao unaona umepitwa na wakati

Hadi City inapendwa Leo hii ni kwa sababu ya huo mpira unaoendana na wa Barça

Ajax inatisha dunia kwa sababu ya huo mpira

Barça inahitaji huu mpira zaidi kuliko vikombe

Identity ya Barça ni mpira wao
 
FIFA DISAPPOINTED BY "UNFAIR AND MISLEADING" REPORTS OVER VOTING FOR THE BEST AWARDS.

FIFA has hit out at "unfair and misleading" reports about votes not being counted towards its The Best awards.

Nominations for Mohamed Salah from Egypt's captain and coach were not included , while Nicaragua captain Juan Barrera claimed on Twitter he did not vote although his name is listed on FIFA's official documentation.

FIFA said this week in a statement released to Omnisport that Egypt's votes were not counted as they seemed "not valid" due to signatures in capital letters and world football's governing body has again moved to clarify the issue.

"FIFA has been disappointed to see a number of reports in the media questioning the integrity of the voting process for The Best FIFA Football Awards," said a statement on Friday. "These reports are unfair and misleading.

"The voting procedure for each of the awards is supervised and monitored by an independent observer, in this case PricewaterhouseCoopers (PwC) Switzerland.

"FIFA and PwC follow the Rules of Allocation and relevant standard control procedures. As per these procedures, FIFA requested all member associations to submit their voting forms both electronically and in writing.

"The written documents must also be signed by the responsible persons of the association as well as by the persons authorised to vote. Therefore in order for a vote to be valid it must include the respective signatures and the member association's stamp.

"Both FIFA and the independent observer can demonstrate that all the votes submitted in accordance with the rules and within the deadlines were taken into account. Consequently, there is no doubt whatsoever as to the authenticity of the result.

"Should there have been any case of wrong-doing, and even if this did not affect the result of the vote, FIFA will investigate and apply sanctions where necessary."

Salah appeared to be upset when FIFA's full list of voting was released without his country's selections, reportedly removing a reference to Egypt from his Twitter bio.

He also posted a cryptic message that read: "Whatever they do to try to change my love for Egypt, they will not succeed."

The award was claimed by Lionel Messi, who beat Liverpool star Virgil van Dijk and Juventus' Cristiano Ronaldo to the honour on Monday.
 
Game saa 11 jioni cha kusikitisha Messi na Ansu fati jana wame train na list ya majeruhi akina Jordi alba na Umtiti.uwezekano wa kuwakosa leo ni mkubwa sana.Strikers wetu leo ni Suarez,Dembele,Griezmann na Perez
 
HII match we need a speed merchant kule mbele-Dembele ni muhimu.Suarez bana hata control ya mpira imemtoka-i always thought with age you slow down but hata kutuliza mpira!!! i think Griezman na Suarez cannot be in the same line up-lets hope Suarez is benched today so that Griezman runs riot
 
Dembele si kaumia tena mzee

Griezman and Suarez cannot play in the same line up.Barca upfront totally blunt-We get a goal against run of play. Ball hoofed upfront and Suarez chances it.
 
Tutashinda - leo kwa Mara ya kwanza tangu mwaka mmoja uliopita siangalii match live
 
Beki ina shida gani mbona naona Lenglet na Busquets wamewa book yellow card
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom