FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Bookmakers Spain,match za Barca nyumbani wanalipa hela ndogo sana-sababu wanajua Barca anacheza mpira akiwa nyumbani.Za ugenini wanajua Barca ni hopeless hence wanaweka hela nyingi-This shows how the mighty have fallen.
Leo tena nitamwangalia Griezman-is he value for money?OR has Barca been shortchanged.
They jury is still out,the Verdict very soon
Kocha huyu wa kutolewa.
 
Kinachozigharimu timu nyingi ni kuchelewa kufanya maamuzi ya kumfukuza kocha. Leo tunaambiwa tokea mwaka 1994 mwaka ndo mara yao ya kwanza kupoteza point nyingi za mwanzoni mwa ligi. Tokea 2004 timu ilikua haijawai ziwadiwa katika kumililiki mpira uwanja lkn msimu huu wa 2018/2019 kuna mechi timu ilionyesha uwezo mdogo wa kumiliki mpira dhidi ya timu pinzani. *pamoja na dalili za wazi kua kocha anaipeleka timu shimoni lakini viongozi wamelala tu*

Duh...very sad kwakweli!
 
Jamani Barca ni yetu twende nayo ,tuseme sisi sio plastic fans ....
Tunashinda Leo Camp Nou

Mwisho pongezi za dhati kabisa mwenye mpira wake baada ya miaka kadhaa ya FIFA ku rob tuzo za mchezaji bora wameamua wairudishe kwa mwenyewe mchawi mkuu!!
Kwa kifupi sana Messi ndio atakua mshindi wa Bal On Dors 2019
 
Naskia wamempa mechi mbili za mwisho asiposhinda akasalimie kwao.
Mechi mbili kivipi, kushinda kwa La Liga anaweza akashinda, ndani ya miaka 12 Barca amekuwa akitawala La Liga, Barca hajawahi kuifikiria La Liga isipokuwa UEFA tu.

Ni kweli tutazame La Liga badala ya UEFA?
 
[@sinconcesiones] | Victor Font: "Valverde seems to me a good coach - honest and hardworking. But I don't think he's suitable for Barça. I would have fired him after Liverpool defeat."
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom