FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Hatari tupu
IMG_20190924_211001_028.jpeg
 
Football can produce wonders huyo Firpo anaweza kuwa man of the match.
Velverde hapo naona kacheza kama Pele.
Anyway home games sio kipimo,its the away games that Barca are being found out
 
Watching Barça at home and watching them away are like watching 2 different teams
 
Timu imecheza vizuri jamani hebu tujipongeze,la muhimu kwanza nadhani ni timu kushikana(players)
Ila Suarez anaendelea kua mzito..yeye leo ameonyesha kupwaya zaidi ktk nafasi yake...dembele ameanza vizuri..na amejaribu mara kadhaa kumshushia vitu suarez..ila mtu.mzima mara amekosa mara amejikanyaga...Griezzman anakuja vizuri sana lakini yooote tunakushukuru mungu kutukuzia huyu dogo Ansummanne fati...eeh bwana ni hatari..'wonder kid...'Suarez angetoka mapema huenda tungemaliza mechi kwa ushindi mnono !
anssumane-fati-of-fc-barcelona-looks-on-during-the-liga-match-between-picture-id1174689327.jpeg
ansu-fati-of-fc-barcelona-during-the-la-liga-match-between-fc-and-picture-id1164113814.jpeg
 
Timu imecheza vizuri jamani hebu tujipongeze,la muhimu kwanza nadhani ni timu kushikana(players)
Ila Suarez anaendelea kua mzito..yeye leo ameonyesha kupwaya zaidi ktk nafasi yake...dembele ameanza vizuri..na amejaribu mara kadhaa kumshushia vitu suarez..ila mtu.mzima mara amekosa mara amejikanyaga...Griezzman anakuja vizuri sana lakini yooote tunakushukuru mungu kutukuzia huyu dogo Ansummanne fati...eeh bwana ni hatari..'wonder kid...'Suarez angetoka mapema huenda tungemaliza mechi kwa ushindi mnono ! View attachment 1215473View attachment 1215474

Nikwambie kitu!

Kwanini wachezaji wa Ulaya wanaweza kuwa On fire mpaka kwenye umri wa miaka 33+ ? Lakini wachezaji wa Africa au America ya kusini ambao hawakukulia katika Academy za Timu za Ulaya wakifika umri wa miaka 29+ tu wanaanza kupoteana?

Uweli ni kwamba WAAFRIKA na WAMAREKANI WA KUSINI wanaoongoza kwa kufoji Umri ili kujirudisha miaka nyuma! Unaweza kuta mchezaji ana miaka 29 kumbe uhalisia ana miaka 34.

Sasa na huyu Suarez nakuhakikishia alidangaja umri tokea hajaenda Ulaya.

Aliponunuliwa Liverpool eti alikuwa na Miaka 23 lakini ukweli ni kwamba alikuwa hapungui miaka 26.

Sasahivi ukimtazama alivyochoka na ule mwili wake na sura Yake unadhani hafiki miaka 35 yule?

Yani wachezaji wa miaka 32 ukiwaangalia unawaona wapo vizuri, Lakini Suarez kawa kama Trakta.

Yani Suarez kadanganya umri waziwazi jamaa hapungui miaka 35 yule.
 
Hahahahha hata sijui niamini.... em wacha nilichukue alafu niongeze na zangu

Naunga mkono hii kitu, suarez si umri wa Xavi yule?
 
hata miliner mbona ana 42
 
Mmmmmh mkuu Ulaya sio bongo.
Kule kuna kipimo cha Body mass index (BMI).
Kinagundua umri wako wa uhalisia.
Huwezi danganya kule.
Suarez yule ni mzembe tu siku hizi wala sio umri.Mbona akiamua kucheza anacheza vema?
 
Mkuu BMI haingalii umri inaangalia kama urefu wako unaendana na uzito wako, lakin pia wao wanautaalam wa hali ya juu wa kuangalia umri sahihi lakin sio kwa kutumia BMI

Inaangalia weight and age approximation mkuu.
Wala haiangalii uzito peke yake.
Kakirudie tena kile kifaa.
 
Akipimi miaka mkuu sema kazi yake kukadilia mfano umesma una miaka 20 chenyewe hakihakikishi kua unayo io kweli ila kina kadilia apo isizidi mi 3 au isipungue na mtu anaeza sma anayo 19 akati anayo 22 kikakubali ila ikizidi zaidi kinagoma
Ndio hakipo exactly kupima exact age lakin kinafanya age approximation.
Asa mkuu suarez adanganye miaka yote hiyo from 31 to 35!!!
Si ishavuka approximation kabbisa!!!
 
Mmmmmh mkuu Ulaya sio bongo.
Kule kuna kipimo cha Body mass index (BMI).
Kinagundua umri wako wa uhalisia.
Huwezi danganya kule.
Suarez yule ni mzembe tu siku hizi wala sio umri.Mbona akiamua kucheza anacheza vema?

Nano aliyekudanganya kuwa Ulaya watu hawadanganyi!

Mbwana Samatta yupo wapi kama sio Ulaya?

Mimi ninamfahamu Mbwana Samatta long time ago na ni Mkubwa kuliko mimi! Lakini Mimi nimeshavuuka umri kwenye 30 wakati yeye hajafika hata umri wa hiyo 30.

Pia na Naby Keita wa Liverpool eti vile alivyo ana umri wa miaka 23 unadhani hajadanganya? Yule anagonga hata miaka 27.

Nakuambia Suarez kafoji miaka
 
Ndio hakipo exactly kupima exact age lakin kinafanya age approximation.
Asa mkuu suarez adanganye miaka yote hiyo from 31 to 35!!!
Si ishavuka approximation kabbisa!!!

Mkuu yule jamaa si wa Umri wa miaka 31

Yani Messi awe Mkubwa kuliko yeye halafu anashindwa hata kukimbia, Yani anakimbia kama Kiboko.

Miaka 31 ni umri wa kawaida sana.

Yule nakwambia hapungui 35
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom