FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Hatari sana .....hivi mazoezi ndio makali kumzidi ....kma sielewi
IMG_20190929_160712_349.jpeg
 
Jumatano tunawakaribisha Inter...ila ka tahadhari tuwe nako sasa hivi jamaa wapo on fire...kwao msimu huu ni tishio zaidi ya Juve..wameshinda mfululizo ktk game zao 7 walizocheza hapa karibuni....
Mungu atusimamie..
 
Kwao. Machinjioni haponagi mtu pale

Kwa Nou Camp sio rahisi kuondoka na ushindi ila kwao wangetupiga.
 
Jumatano tunawakaribisha Inter...ila ka tahadhari tuwe nako sasa hivi jamaa wapo on fire...kwao msimu huu ni tishio zaidi ya Juve..wameshinda mfululizo ktk game zao 7 walizocheza hapa karibuni....
Mungu atusimamie..
League yao inavibonde wote hakuna cha wala nini..

Juve yenyewe inakuwaga kwenye league yao ila wakija UCL ndoto zote zinaisha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom