FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Maandalizi ya kesho
IMG_20191001_231300.jpeg
IMG_20191001_231257.jpeg
IMG_20191001_231242.jpeg
IMG_20191001_231237.jpeg
IMG_20191001_231233.jpeg
 
Inashangaza sana kocha unashindwaje kumtumia Coutinho aisee?
Hakuna mwalimu pale mimi nina wasiwasi president haipendi barca toka moyoni kapandikizwa kuharibu heshima ya barca nashangaa uchanguzi wanachama wanamchagua halafu hapo hapo baadae wanalaumu board.... Ipigwe kura kutokuwa na imani na board hiyo ndio njia kurudisha barca kwenye utawala wake
 
Ter Stegen
Filpo,Semedo,Lenglet,Pique
Arthur,De jong,Busquets
Perez,Suarez,Griesman....predicted starting players.
 
Hakuna m2 mpumbav kama Rais wa Club(Bartmeou) yule mzee ni mpumbav kwa kiwango cha rami.. Huwez kua unamtetea Koch wkt kbs unaona hana tactics yupo yupo tu
Hakuna mwalimu pale mimi nina wasiwasi president haipendi barca toka moyoni kapandikizwa kuharibu heshima ya barca nashangaa uchanguzi wanachama wanamchagua halafu hapo hapo baadae wanalaumu board.... Ipigwe kura kutokuwa na imani na board hiyo ndio njia kurudisha barca kwenye utawala wake
 
wenye JF yenu Moderator msiunganishe hii na ile Special Thread ya Barca, hapa ni kwa ajili ya mechi ya leo tuu!

eebana leo mishale ya saa nne usiku, pale Camp Nou, Barcelona itakua Nyumbani dhidi ya Internationale milan, hii ni bonge moja ya mechi, kwani inter hii ya Antonio conte ni ya moto sana!!

Je, ernesto valverde atapata ushindi mbele ya muitaliano Antonio conte!?

Barcelona ikichagizwa na wachezaji machachari kama Left back Jord alba, beki kama Pique, na mamidlfild wakali kama Frankie de Jong, Busquets na Mbrazil Arthur, ikichagizwa na washambulia makini kama Suarez, Antoine Grizmann, kinda Ansu Fati na baba yao LM10.

je itashinda mbele ya kikosi cha inter kilichosheheni mastar kama Marcelo Brazovic, Alexis Sanchez, Skriniar, Central Midfild kama Sensi, D'ambrosio na mabek hatari Kama Stefan de vrij na diego godin?

Tukutane kibanda umiza!
 
kwan Ansu fati na jordi alba wamepona majeruhi?
Ansu fati,jord alba,dembele,messi +Umtiti wote majeruhi,wengine wanaweza cheza kwa muda kidogo isipokua jordi alba na umtiti.
Ila list ya leo ambayo ni predicted mbele pale ni
Suarez,Cares Perez na Antonnie Griesmann
 
basi barca inaeza ikapigwa
 
Barcelona confirm Firpo will be OUT for Inter clash due to his hamstring injury
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom