FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Ukiwa na mchezaji kama Grizzman , mchezaji anayepeform katika level ya kidunia (France) na kwenye klabu (atleti) halafu ushindwe kumtumia ni wazi utaonekana kuwa hujui unachokifanya.


Hebu fikiria kuanzia Valverde awe Kocha, Suarez anazidi kuwa mmbovu, Coutinho alichemka kabisa , Rakitic anavurunda, De jong ametoka kuwasha Moto Ajax ila Barca anaonekana mmbovu, Grizzman anachemka, yaani timu nzima ukimtoa Messi na golikipa hakuna anayepeform katika level ya timu kama Barca.

Kwa mazingira hayo utawalaumu wachezaji au kocha ?

Mimi binafsi nailaumu Bodi chini ya Bartomeu kwa kushindwa kufanya maamuzi muafaka ma kuacha timu ikiendelea kuvurunda wakijua kabisa kisingizio chao kitakuwa Kocha wakati hata wao wamshindwa kufanya maamuzi sahihi
Nakunga mkono hoja, ni kutimua Valverde haraka iwezekanavyo, bora Luis Enrique aweze kurudi au mtu mwingine yoyote yule lakini sio huyu mzee.
 
Wakina iniesta na xavi waliondoka na wakamuacha Messi bila uwepo wa Neima na haikuwa shida...shida ipo kwa makocha...Griezman ni mchezaji mzuri na mwenye mafanikio makubwa katika timu ya taifa na club yake ya zamani, kuliko neima....huko ligue 1 hata asipocheza ushinndi uko pale pale, wako akina mbappe, de maria, cavan na lcardi wanatosha..
Valverde ni kituko pale Barca.
 
Kinachozigharimu timu nyingi ni kuchelewa kufanya maamuzi ya kumfukuza kocha. Leo tunaambiwa tokea mwaka 1994 mwaka ndo mara yao ya kwanza kupoteza point nyingi za mwanzoni mwa ligi. Tokea 2004 timu ilikua haijawai ziwadiwa katika kumililiki mpira uwanja lkn msimu huu wa 2018/2019 kuna mechi timu ilionyesha uwezo mdogo wa kumiliki mpira dhidi ya timu pinzani. *pamoja na dalili za wazi kua kocha anaipeleka timu shimoni lakini viongozi wamelala tu*
Guadiola
Simion
Pochetino
Klop

Timu kubwa na tajiri duniani lakini yameshindwa kuchukua kocha kati ya hao...spurs, liver na atletico wameweza sisi tunakwama wapi!!!
 
La pulga
fifaworldcup-20190923-0001.jpeg
 
Bookmakers Spain,match za Barca nyumbani wanalipa hela ndogo sana-sababu wanajua Barca anacheza mpira akiwa nyumbani.Za ugenini wanajua Barca ni hopeless hence wanaweka hela nyingi-This shows how the mighty have fallen.
Leo tena nitamwangalia Griezman-is he value for money?OR has Barca been shortchanged.
They jury is still out,the Verdict very soon
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom