Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,504
- 28,692
Yule sio kocha kabisa , hana tofaut na huyu wa barcelonaHahahahahahahahah mkuu UNAI Ameshakufika mwisho
Yule sio kocha kabisa , hana tofaut na huyu wa barcelonaHahahahahahahahah mkuu UNAI Ameshakufika mwisho
Hawana tofaut yoyoteUsimfananishe Uinay Emery na vitu vya kipumbavu.
Hahahhaha eti lione hili linesKwani lione hili linesi hakuwepo?
Mkuu Griezmann usimlaumu bado hajachanganya.kumbuka Dembele alianza km Griezmann kuvurunda hv hv ila msimu ulokuja akawa sawa.
Gwambina ya pasta athanasBILA KUMFUKUZA VARVEDE BARCELONA ITAFUNGWA HADI NA GWAMBINA FC
Umri kitu kibaya sana BosiNaona mnaendelea kuleta masikhara.hayaaa.
Mechi zinaisha hizo.
Kuna haja gani messi kuanzia bench?
huyo huyo pastor athanas na revocatus Richard na Anthony matogolwaGwambina ya pasta athanas
Hata Man City nayo kuna wakati yatamkuta haya haya maana tangu jana Pep hakuna timu iliyowahi kumzidi kwa kiwango cha pesa ndefu za usajili pa1 na ubora wa kikosi chao.Griezman hajachangamka?
Tena unafananisha na ujio wa Dembele?
Kumbuka: Dembele alitoka Bundes Liga ambayo ni ligi tofauti na Laliga, Kwahiyo alihitaji Muda Kuadapt na new Ligi with new system.
But Griezman ametokea hapohapo La Liga ambapo ameshacheza kwa miaka mingi! Sasa unataka azoee nini tena kwenye hii Ligi?
Kiufupi Barcelona imezoeleka kununua wachezaji kwa bei kubwa wakaishia Kuflop
Kwani lione hili linesi hakuwepo?
Umri umri umri, nadhani umenielewaRais na bodi ya timu wanaomg’ang’ania Valverde inabidi watupishe maana ameshshindwa in all spheres ...
Kingine huyu Suarez ndiye mchezaji mwenye away form mbaya zaidi, kila mechi zetu za away mi kama tupo 10
Uongozi wanashindwa kutengeneza timu ? Palikua na kila sababu ya management kufanya manunuzi ya zaidi ya wachezaji 6 kutoka ktk kile kikosi cha Ajax. Beki watatu na viungo watatu na striker mmoja at least, Tungewauza Suarez,Pique,Sergio,Alba...Courtinho angesalia....then ndio juhudi za kumrudisha Neymar zingeanza.
Mkuu kocha mwenyewe hana mbinu za kuwapa wachezaji unadhani watachezaje?Katika usajir wa hovyo ni huo. Griezmann anasubur kuletewa mpira na kwa mfumo wa barca ni mda mrefu tokea iwe na mchezaji wa hivo. Upande wowote anaokaa unapooza. First half alikua upnde wa kushoto tumeona ulivyopooza, kipindi cha pili tumeona upande wa kulia ulivyopooza kwa ufupi hana ule ushambuliaji wa kushika mpira akakimbizana na beki.
Mkuu kocha mwenyewe hana mbinu za kuwapa wachezaji unadhani watachezaje?
We subiri atabadilika tu huyo Griezmann.
Katika usajir wa hovyo ni huo. Griezmann anasubur kuletewa mpira na kwa mfumo wa barca ni mda mrefu tokea iwe na mchezaji wa hivo. Upande wowote anaokaa unapooza. First half alikua upnde wa kushoto tumeona ulivyopooza, kipindi cha pili tumeona upande wa kulia ulivyopooza kwa ufupi hana ule ushambuliaji wa kushika mpira akakimbizana na beki.
Perez anajifanya messi haachi mapema.dah barca inakera sana
Kwa mfumo wa barca sioni akibadilika mkuu. Baada ya kuja Luis enrique mfumo wa barca wa kutawala katikati kwa kutumia viungo wa kati ulibadilika ukawa mfumo wa kutumia washambuliaji. Kwa kupitia mfumo huo viungo wa timu pinzani walilazimika kubaki nyuma kusaidiana na beki kukabiliana na MSN kwa hyo mashambulizi langoni mwa barca yanakua machache. Lakini mfumo huo kushambulia ulikua unamtegemea zaidi Messi na Neymar ambao ndio waliokua na jukumu kubwa la kutikisa ngome ya upinzani na Suarez alikua anacheza kama mshambuliaji wa mwisho. Baada ya kuondka Neymar Messi amejikuta akiwa na mzigo mzito na siku Ikitokea amezidiwa mambo yanaharibka. Ujio wa griezmann hautakua na athar maana si mtu wa kushika mpira na kupangua ngome badala yake yeye anasubir aletewe kama ilivyo kwa Suarez. Kwa sasa hivi ukimpanga Suarez na griezmann kwa wakati mmoja unakua na washambuliaji wawili wanaoitaji kuletewa mpira wakati huna viungo wa uhakika. Akija Neymar itabidi timu irudi kwenye MSN ambapo umuhimu wa griezmann hautainekana tena. Bado najaribu kufikiria nani aliyeshauri kununuliwa kwa griezmann wakati haendani na mfumo wa timu.
Aya sasa Uyu griezman mlio kua.. mna subri acheze na King LEO mna muona sasa .
ata neymar ange kuepo tatzo bado tuna kocha Toy sijui wali mtolea wapi
Hahaaaaahuyo huyo pastor athanas na revocatus Richard na Anthony matogolwa