Usimfananishe Uinay Emery na vitu vya kipumbavu.Valvede ni type ya makocha kama.Unai , hata uwamwagie nyota wote duniani hataweza kuwatumia
Usimfananishe Uinay Emery na vitu vya kipumbavu.Valvede ni type ya makocha kama.Unai , hata uwamwagie nyota wote duniani hataweza kuwatumia
Hahahahahahaha hata Luncho na uhuni wake asingeweza kupata matokeo machafu hivi.Bora hata kocha wa mpito wa Taifa stars ila sio takataka valverde
Mkuu Griezmann usimlaumu bado hajachanganya.kumbuka Dembele alianza km Griezmann kuvurunda hv hv ila msimu ulokuja akawa sawa.Aya sasa Uyu griezman mlio kua.. mna subri acheze na King LEO mna muona sasa .
ata neymar ange kuepo tatzo bado tuna kocha Toy sijui wali mtolea wapi
Msimlaumu Griezmann wa watu.Usisahau shati lingine linalovaa jezi namba 17.
Hahahahahahahahah mkuu UNAI Ameshakufika mwishoValvede ni type ya makocha kama.Unai , hata uwamwagie nyota wote duniani hataweza kuwatumia
Cc mwekundu
Msimlaumu Griezmann wa watu.
Team nzima inacheza in poor strategies.
Team nzima inacheza hovyo,tatzo ni kocha hana tactics ridhishi na stahiki.
Tangu apigwe kipigo heavyweight pale Anfield cha goli 4 jamaa nasikia yupo Milembe kwa uangalizi zaidi.Cc mwekundu
Naunga mkono hoja, De Jong nimemtazama first half akicheza nafasi ya Busquets, huyu hapozi mpira pale kati, anazunguka haswa.Uongozi wanashindwa kutengeneza timu ? Palikua na kila sababu ya management kufanya manunuzi ya zaidi ya wachezaji 6 kutoka ktk kile kikosi cha Ajax. Beki watatu na viungo watatu na striker mmoja at least, Tungewauza Suarez,Pique,Sergio,Alba...Courtinho angesalia....then ndio juhudi za kumrudisha Neymar zingeanza.