.Wadau vp tupo kund gan uefa, na tupo na timu gan
Kwa hiyo hawa PSG,wanategemea kabisa kumchezesha Neymar katika timu yao-hili saga litawatokea puani PSG
Neymar anasisitiza kuhama kuja barca.Litawatokea puani kivipi?
JAMANI ROAD TO BALLON D'OR AND FIFA BEST MAN JEE TUNA MATUMAINI NA MESSI ??!!!!![]()
![]()
Jina: Futbol Club Barcelona (FCB) a.k.a Barca, Blaugrana.
Kuanzishwa: November 29 1899
Uwanja: Camp Nou , unaingiza watu 99,354. Mkubwa kuliko yote ulaya na watatu duniani.
Mashabiki: Barcelonistas, Cules,Blaugranes au Azulgranas.
Makombe: Washindi wa La liga mara 24 ya Madrid (32).
Washindi wa Copa del Rey mara 28 mbele ya Bilbao 24 na Madrid 19.
Washindi wa supercopa mara 11 mbele ya Madrid mara 9.
Washindi mara tatu wa FIFA club world cup (rekodi).
Washindi mara 5 wa UCL nyuma ya Madrid 10 na milan 7.
El classico: kwa mechi za mashindano Madrid kashinda 92 na Barcelona kashinda 90. Kwa zote Barcelona kashinda 109 na Madrid 96.
Neymar anasisitiza kuhama kuja barca.
Inaonesha haridhiki kukaa PSG tena wakimlazimisha unategemea atacheza kwa kiwango si atacheza bora liende huku akiwa anakula mshahara km kawaida??!!!
Si ni sawa na kuondoka tu kaka??!!
Wadau vp tupo kund gan uefa, na tupo na timu gan
JAMANI ROAD TO BALLON D'OR AND FIFA BEST MAN JEE TUNA MATUMAINI NA MESSI ??!!!!
MAANA NAONA KM VAN DIJK KESHAPEWA BALLON D'OR VILEE!!!!
Mmmmh modric usimfananishe na huyo beki tatu aisee.Yale yale ya Modric mtu anapewa tuzo hadi mwenyewe anajistukia
Wataona aibu kumnyimaMmmmh modric usimfananishe na huyo beki tatu aisee.
Modric alisomba nyingi DIJK wala hapati nyingi.
Maana ana tuzo ya beki bora EPL na uefa na mchezaji bora uefa kamaliza kaz tuzo tatu tu.
Messi mchezaji bora laliga,mfungaji bora laliga,ana European golden boot,ana Uefa golden boot kwa kuwa best forward,ana pichichi award.
Wakuu huyu mtu anakosa kweli FIFA best man player au ballon d'or???!!!!!!
Wampe tu messi bhanaaaa.


yaani kila msimu unaona kabsa anastahili kuchukua uchezaji bora so unapomchagua mtu mwingne, yule mtu Anachukua lakini hawezi kusema yeye ni bora kumzidi Messi au Ronaldo. 


Huyo ni mfungaji bora that all,tuzo hizi sasa ivi zinaleta maana ya uchezaji bora zamani walikuwa wanaangalia nani kafunga ngapi leo hii watu wanalalamika kwa sababu vipenzi vyao mwisho wa tuzo umefika ,nq mwakani atakuwa middifielder mpaka wapenzi wa Messi na CR7 wapasukeMmmmh modric usimfananishe na huyo beki tatu aisee.
Modric alisomba nyingi DIJK wala hapati nyingi.
Maana ana tuzo ya beki bora EPL na uefa na mchezaji bora uefa kamaliza kaz tuzo tatu tu.
Messi mchezaji bora laliga,mfungaji bora laliga,ana European golden boot,ana Uefa golden boot kwa kuwa best forward,ana pichichi award.
Wakuu huyu mtu anakosa kweli FIFA best man player au ballon d'or???!!!!!!
Wampe tu messi bhanaaaa.
Kama tuzo binafsi hata messi ni mchezaji bora Laliga.Huyo ni mfungaji bora that all,tuzo hizi sasa ivi zinaleta maana ya uchezaji bora zamani walikuwa wanaangalia nani kafunga ngapi leo hii watu wanalalamika kwa sababu vipenzi vyao mwisho wa tuzo umefika ,nq mwakani atakuwa middifielder mpaka wapenzi wa Messi na CR7 wapasuke
Swala la Neymar litaeleweka hadi tar 2 ngoja tujifanye hatujui loloteNeymar deal limefeli...
Barca call it off
Barca washa cancel hiyo kituSwala la Neymar litaeleweka hadi tar 2 ngoja tujifanye hatujui lolote
Hakuna confirmation yoyote kuhusu hilo, swala bado lipo kwenye mazungmzBarca washa cancel hiyo kitu
VVD ni mchezaji bora epl ila sio mfungaj bora.Kama tuzo binafsi hata messi ni mchezaji bora Laliga.
Huwez kuwa mfungaji bora km sio mchezaji bora pia.
Naamin wingi wa tuzo binafsi alizo nazo messi wampe tu ballon d'or.
Mmmmh bro hapana VVD alikua beki bora sio machezaji bora EPL.VVD ni mchezaji bora epl ila sio mfungaj bora.
Mambo yamebadilika naona