unasemaje mkuu
Ukijumlisha pesa plus players haviendani na thamani halisi ya neymar.wawape raktic dembele
Roberto tatizo hana msuli semedo ni kama style ya dani alves beki winga,anapanda na kushukaRoberto atacheza tu mbona ata wakitaka na raktic tuwape tu
Wakuu ile winger ya kulia ya jana inaitwa perez ni ya moto balaa, yule dogo akakaa na Neymar hii timu itakuwa ni hatari.
Dembele mbele ya huyu dogo mimi karata yangu naitupa hapa, dogo akipewa nafasi ni moto. Tukiwa na Neymar hakika bila Messi timu inabeba UEFA.
Mkuu Abdul razaq Lenglet Mkumbila yuko vizuri ila puncture mammaayeee ni Pique.UEFA kwa beki hii ya akina Lengleat na Pique?
Ondoa pique weka Umtiti upande wa defence.Carles Perez atakapoungana na King messi na Neymar + Griesman itakua motooo ...kumbe chipukizi tunao Lamasia tuna ng'an'g'ana na wazee akina Suarez na Pique ifikie wakati barca mizigo iondolewe hata kama ni kwa mkopo
Semedo tena? huu sasa usengee
Nadhani akikaa na Messi na Suarez au Griezmann atatulia.Hili deal la neimoney bora libume *****
Anayeniuma Semedo aisee naona nimchezaji muhimu sana Barça
nashangaa sana mnaomlilia semedo aende tu Kwanza hawana maelewano mazuri na neymarSemedo ni dhahabu, hatoki yule ndio 1st Choice yetu Roberto msimu huu ni midfielder..
libume ili iweje wewe jau kweliHili deal la neimoney bora libume *****
nashangaa sana mnaomlilia semedo aende tu Kwanza hawana maelewano mazuri na neymar
aondoke Barca bila neymar hatuwezi kushindana ulayaKwahiyo kama hawana?
Huyo Neymar si chochote kama akibaki abaki PSG tu watu tunaoo dogo perez akisimama na Messi na Griezmann kaz imeisha.aondoke Barca bila neymar hatuwezi kushindana ulaya
sizani kama uko timamu yaani game ya real betis inakufanya umuamini Perez?Huyo Neymar si chochote kama akibaki abaki PSG tu watu tunaoo dogo perez akisimama na Messi na Griezmann kaz imeisha.
Hata kama basi asipokuja Neymar mbele awepo messi,Griezmann na suarez kwisha kazi mtoe huyo bishoo.sizani kama uko timamu yaani game ya real betis inakufanya umuamini Perez?
beki gani ya kukiogopa icho kituko
nenda kaangalie YouTube kazi za itakuwa haumjui vizuriHata kama basi asipokuja Neymar mbele awepo messi,Griezmann na suarez kwisha kazi mtoe huyo bishoo.