FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Mmmmh bro hapana VVD alikua beki bora sio machezaji bora EPL.
VVD ni mchezaji bora Uefa sio EPL sidhan km EPL alipew tuzo hyo.

IMG_5822.JPG
 
psg wanataka 130m euro + rakitic + osmane debele + tolibo sasa huu nitawaona barca wajinga sana wachezaji 3 na hio hela kwa neyma mmoja yanini kun'gan'gania wakati grizou na king messi wapo rafihna pia yuko poa
 
Neymar Jr Bishoo lenye mvuto wa biashara.

Neymar Sura ya biashara ile,Sura ya Matangazo.

Neymar ukimkuta kitaa kavaa kaptula chini ili tuone kufuli,Masikioni anavipuli,katoboa pua kichwani anaambarose utamwambia nini Mjuukuu wa Rivaldo styles Dimbani.
psg wanataka 130m euro + rakitic + osmane debele + tolibo sasa huu nitawaona barca wajinga sana wachezaji 3 na hio hela kwa neyma mmoja yanini kun'gan'gania wakati grizou na king messi wapo rafihna pia yuko poa
 
Swala la Neymar halijaisha, bado mazungmzo yanaendelea, ukweli ni kwamba mwisho wa siku PSG watalegeza kamba coz option ni moja tu Ni Neymar kurudi Barça
 
psg wanataka 130m euro + rakitic + osmane debele + tolibo sasa huu nitawaona barca wajinga sana wachezaji 3 na hio hela kwa neyma mmoja yanini kun'gan'gania wakati grizou na king messi wapo rafihna pia yuko poa
utakuwa usengee sana
 
Baada ya deal kuonekana kukwama Neymar ametishia ku-Knucle pale Psg
Cjui tafsiri yake vzr ni kama ikiwa deal itakwama hamasa yaje na ari kwa klabu ataiweka chini kabisa......wacha tuone siku mbili hizi kama kuna chochote kitatokea maana dirisha la ulaya mwisho jumatatu linafungwa sijui ni saa ngapi sasa
 
Greizman tunamtazama tena leo-kama atakuwa worth the entrance money.
PSG siwaelewi kabisa inawezekana vipi umngaganie high profile player bila kuleta unrest katika dressing room.Wanataka kutukaba in broad daylight yaani 3 players na hela juu.Bila Champions league tungewaachia awasumbue kwa dressing room
 
Ney kaongeza 20m kukamilisha 150 wanayoitaka
Greizman tunamtazama tena leo-kama atakuwa worth the entrance money.
PSG siwaelewi kabisa inawezekana vipi umngaganie high profile player bila kuleta unrest katika dressing room.Wanataka kutukaba in broad daylight yaani 3 players na hela juu.Bila Champions league tungewaachia awasumbue kwa dressing room
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom