Grienzmann ni supporting striker/center-forward na sio Center Forwardsuarez angeuzwa tu me naona kama amekuwa mzigo na anaongeza rundo la wachezaji
Grienzmann ni supporting striker/center-forward na sio Center Forward
Center Forward aliebaki ni Suarez peke yake, labda wanunue Striker mwingine
Barcelona inamuhitaji neymar kuliko anavyoihitaji katika mizoga iliyopo coutinho na Dembele hakuna mpambanaji na skilled kama neymar uwepo wa nermay unampunguziaga kazi MessiahKuna tetesi zinadai kuwa EV hajatoa ombi la #9 kwa board, tusahau tu wamebaki kuhangaika na neymar tu
WameshazinguaKuna tetesi zinadai kuwa EV hajatoa ombi la #9 kwa board, tusahau tu wamebaki kuhangaika na neymar tu
Dembele nae ni mzuri sana kama mnamponda kwa kukosa magoli sasa kati ya Dembele na Neymar ni nani anaekosa sana magoli?Barcelona inamuhitaji neymar kuliko anavyoihitaji katika mizoga iliyopo coutinho na Dembele hakuna mpambanaji na skilled kama neymar uwepo wa nermay unampunguziaga kazi Messiah
Pamoja na madeko ya Neymar mkuu... Dembele hamgusi kabisa JrDembele nae ni mzuri sana kama mnamponda kwa kukosa magoli sasa kati ya Dembele na Neymar ni nani anaekosa sana magoli?
Neymar aje tu
Ivi neymar angekuwepo angekuwa na goal scoring rate kama ya Dembele tuacheni kulinganisha ushuzi na marashi.Dembele nae ni mzuri sana kama mnamponda kwa kukosa magoli sasa kati ya Dembele na Neymar ni nani anaekosa sana magoli?
Neymar aje tu
Nashangaa kwakweli ety mtu anasema Dembele mzuri Kwa lipi?Pamoja na madeko ya Neymar mkuu... Dembele hamgusi kabisa Jr
Ujio wa neymar barca ni safari ya dembele kusepa kabisa.
Barcelona inamuhitaji neymar kuliko anavyoihitaji katika mizoga iliyopo coutinho na Dembele hakuna mpambanaji na skilled kama neymar uwepo wa nermay unampunguziaga kazi Messiah
juve licha ya kikosi kipana hawatafurukuta.
kama neymar ataenda Juve kama inavyozungumzwa bas jatar kwa afya zetu uefa
Ivi neymar angekuwepo angekuwa na goal scoring rate kama ya Dembele tuacheni kulinganisha ushuzi na marashi.
Nashangaa kwakweli ety mtu anasema Dembele mzuri Kwa lipi?
He is Good for nothing
Neymar is million miles on Dembele
Wameshazingua
Mastriker wenyewe sokoni msimu huu wenye hadhi ya kuchezea Barca walikuwa wawili tu(Jovic na Joao Felix) na wote wameshanunuliwa kwenda timu kubwa
Sijasema kwamba Dembouz yuko vizuri kuliko NeymarNashangaa kwakweli ety mtu anasema Dembele mzuri Kwa lipi?
He is Good for nothing
Neymar is million miles on Dembele
Sasa kwani mpira nguvu Hadi akatae kukaa benchi? Umetoa very weak point benchi atakaa tena nahisi kwenye swap atahusishwa kama hato ondoka benchi atakaa mpaka ataliaSijasema kwamba Dembouz yuko vizuri kuliko Neymar
Neymar tayari alishaithibitishia Dunia kuwa yeye ni World Class Forward and Winger ambae anakupa zaidi ya goli 20 za ligi kwa msimu Dembele anayo kazi bado ya kuithibitishia Dunia kama yeye ni World Class in end product
Majeruhi nadhani ndio sababu kwa nini hatujapata nafasi ya kuprove Dembele ni nani, sikumbuki kama kuna msimu amecheza msimu mzima
Msimu ulioisha amecheza mechi 29 sijajua kaanza mechi ngapi katika hizo ila kafunga goli 8 na kafunga hizo goli nane akiwa na miaka 21 ukizingatia umri, mechi ambazo ameanza na position anayocheza ya Wing hizo goli nane ni ishara nzuri kujua Dembele ni mchezaji wa kiwango cha juu anaeibukia maana mechi hapo nakisia kaanza mechi 15 hivi
Anyway Neymar aje tu tukizingatia Rivals walichowekeza kwenye Forward line zao Neymar aje tu
Swali ni Je Dembele atakubali kutokea benchi? maana akija Neymar hapo benchi linamhusu
Kwaiyo unataka kudanganya kuwa Dembele alikuwa hachezeshwi position yake?Uwezi kuexpect rate kubwa kama unamchezesha tofauti na natural position yake..
Angalia cou wa liva alipokuwa akichezeshwa alafu nyinyi mnataka mumweke winger na rw mnamweka lw.
Kigezo cha majina makubwa kwenye timu sio guarantee ya kushinda mataji. Liva ina world class player gani pale.??
High profile players wataleta matumizi makubwa for nothing
Ni kuimarisha lb yetu
Dembele ingawa ni Right-footed ila upande anaoupenda ni Right-wing kwa nilivyomuonaKwaiyo unataka kudanganya kuwa Dembele alikuwa hachezeshwi position yake?
Anaupenda kwaiyo Messi anaeuweza atoke awekwe anaeupenda?Dembele ingawa ni Right-footed ila upande anaoupenda ni Right-wing kwa nilivyomuona
Valverde huwa anampanga Left-wing