FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

nilitegemea tusajiri no.9 ya kumsaidia Suarez na beki 3 ya kumsaidia Alba
Mauro Icardi vipi naona angefiti
Jana nimeona taarifa kadoji hajaenda ku train na wenzake
IMG_20190712_180310_448.jpeg
IMG_20190712_180334_645.jpeg
 
Semedo yuko poa timu yetu ina tabia Ya kuwaondoa wachezaji wazuri na kuacha magalasa sijui kwanini..unafikiriaje kuwaacha watu kama semedo, dembele..
Unamwacha Pique ila na kaubaguzi ka rangi kapo kapo pale
 
Ukimwondoa pique unabaki na wazawa wangapi kwenye Timu?
Semedo yuko poa timu yetu ina tabia Ya kuwaondoa wachezaji wazuri na kuacha magalasa sijui kwanini..unafikiriaje kuwaacha watu kama semedo, dembele..
Unamwacha Pique ila na kaubaguzi ka rangi kapo kapo pale
 
Semedo yuko poa timu yetu ina tabia Ya kuwaondoa wachezaji wazuri na kuacha magalasa sijui kwanini..unafikiriaje kuwaacha watu kama semedo, dembele..
Unamwacha Pique ila na kaubaguzi ka rangi kapo kapo pale
Hakuna ubaguzi Barca ukiona mtu anasugua jua hajui ngozi

Ila mm nmeipenda signing ya zombie Suarez
 
My starting XI this season

Griezmann - Messi - Dembele

Arthur - Busquets - Frenkie

Alba - Umtiti - Pique - Semedo

Stegen

Unaionaje?
hapo kwa de jong weka ractik na hapo kwa Dembele weka continho,,,ukuta uko nyuma ndo janga la taifa
 
My starting XI this season

Griezmann - Messi - Dembele

Arthur - Busquets - Frenkie

Alba - Umtiti - Pique - Semedo

Stegen

Unaionaje?
Unampendea nini dembele?
Unafikiri ni akili kuanzisha wachezea kushoto wote?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom