FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Anaupenda kwaiyo Messi anaeuweza atoke awekwe anaeupenda?
Hamna namna

Messi ule upande utachukuliwa akistaafu

Ila hata hivyo inawezekana Dembele akachezea ule Upande kwa Messi kupewa more free role, haya maoni yangu tu ni sahihi kocha kufanya anavyoona inafaa
 
Naomba nikuite kichwa ngumu, maana unaelezwa kwanini hapafom vizuri wewe unaleta mambo mengine.

Dembouz sehemu comfortable kwake ni rw na aio lw. OVER
Anaupenda kwaiyo Messi anaeuweza atoke awekwe anaeupenda?
 
dili la neymar ni ngumu japo kua yee mwenyewe chaguo lake kubwa ni kurudu barcelona laikini ngoma ngumu mwarabu hatomuacha tu aende hivi hivi lazima hela yake irudishwe na kwa timu ya barcelona hakuna uwendazimu wa kutoa euro 220mil kwa wingi 100mil na + wachezaji 2 na mwarabu hayupo tayari kwa hilo tusubirini tuone zimebakia siku chache tu dirisha la usajili kufungwa na naamini real madrid wapo tayari kutoa dau kubwa ili kapata sign ya neyma na mwarabi atakua yupo radhi kwenda madrid kuliko kuja barca
 
De jong semedo rakitic nje
IMG_20190723_123437_011.jpeg
 
Naona Psg wametoa deadline hadi 31 July kuhusu usajiri wa Naymar kurudi Barca.
kuna Dogo mkali Sana 'Wonder kid 'huyu wa under 20 Aitwae Xavi Simons ametangaza kuihama Barca,dogo ni mzuri mno nahisi Kwa baadae atarudi tu nyumbani agent wake yasemekana anampeleka PSG
Amekulia Barcelona tangu akiwa na umri wa Under 8,sasa hivi ana 16yrs.
1143158914.jpg.0.jpeg
 
Naona Psg wametoa deadline hadi 31 July kuhusu usajiri wa Naymar kurudi Barca.
kuna Dogo mkali Sana 'Wonder kid 'huyu wa under 20 Aitwae Xavi Simons ametangaza kuihama Barca,dogo ni mzuri mno nahisi Kwa baadae atarudi tu nyumbani agent wake yasemekana anampeleka PSG
Amekulia Barcelona tangu akiwa na umri wa Under 8,sasa hivi ana 16yrs. View attachment 1160446
huyu Acha aondoke tu kila siku hakuagi.
 
Naona Psg wametoa deadline hadi 31 July kuhusu usajiri wa Naymar kurudi Barca.
kuna Dogo mkali Sana 'Wonder kid 'huyu wa under 20 Aitwae Xavi Simons ametangaza kuihama Barca,dogo ni mzuri mno nahisi Kwa baadae atarudi tu nyumbani agent wake yasemekana anampeleka PSG
Amekulia Barcelona tangu akiwa na umri wa Under 8,sasa hivi ana 16yrs. View attachment 1160446
Raiola huyo ana visasi na Barcelona,
De light kampeleka Juve na saizi Simon kamshawishi aondoke barca
 
“If your agent is Mino Raiola, Don’t come to Barcelona”
This should be the Board’s message to every single player, Youth or First team player. More thoughts
This guy will destroy every player Carrier!!!!Mark my words!!!
A BIG BIG EXAMPLE IS Pogba!!!He is no near the player he was in Juventus!!!All for the money !!!!!MONEY MONEY MONEY its so funny its the RIOLA WORD,
 
Naona Psg wametoa deadline hadi 31 July kuhusu usajiri wa Naymar kurudi Barca.
kuna Dogo mkali Sana 'Wonder kid 'huyu wa under 20 Aitwae Xavi Simons ametangaza kuihama Barca,dogo ni mzuri mno nahisi Kwa baadae atarudi tu nyumbani agent wake yasemekana anampeleka PSG
Amekulia Barcelona tangu akiwa na umri wa Under 8,sasa hivi ana 16yrs. View attachment 1160446
So sad aisee

Team yangu siielewi kabsa
R.I.P La masia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom