Kwani greizman ni mtengenezaji?ni kweli tumefrahia ujio wa grizman lakn ukija kiufundi bado basa tutastago san msimu unaoanza kwenye uefa kwa sababu basa inaitaji san mpachika mabao sana wa kusaidiana na mess na sio mtengenezaji sana
Jogoo atanyongwa Safari hii na nyie wote mnajua hiliPopote mtakapokutana na Majogoo tutawamaliza tu
Hahahahahahahahah kama Foward inayoongozwa na Origi inawatia chuma 4 ndembendembe bado tu mnajihesabu mna timu.Jogoo atanyongwa Safari hii na nyie wote mnajua hili
Sasa tumesalia na signing mbili hivi... LB na CB mmoja.
Hata neymar akija tatizo linabaki moja.. Nalo ni Valverde..
How is he going to lineup this season!? View attachment 1152058View attachment 1152059View attachment 1152060
Kwa akili yako tu ukipewa uchague AG7 na dembele utampanga nani?Kwa ujio wa AG ina maana Dembele atasugua bench?
Kwa akili yako tu ukipewa uchague AG7 na dembele utampanga nani?
Atakutana na origi tu huyu anamtosha 😂😂Welcome grizouView attachment 1151971
huu usajili hata sijaufurahia kabsa!
Ila poa viongozi na kocha wanajua wanachokitaka
Unataka nani aletwe?huu usajili hata sijaufurahia kabsa!
Ila poa viongozi na kocha wanajua wanachokitaka
HahahahahahahahahNauliza swali na wewe unauliza swali? Huo ni udhaifu wa kuogopa hoja
Kwa ujio wa AG ina maana Dembele atasugua bench?
Atakutana na origi tu huyu anamtosha![]()
huu usajili hata sijaufurahia kabsa!
Ila poa viongozi na kocha wanajua wanachokitaka
nilitegemea tusajiri no.9 ya kumsaidia Suarez na beki 3 ya kumsaidia AlbaUlimtaka neymar nini?