FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Naona Psg wametoa deadline hadi 31 July kuhusu usajiri wa Naymar kurudi Barca.
kuna Dogo mkali Sana 'Wonder kid 'huyu wa under 20 Aitwae Xavi Simons ametangaza kuihama Barca,dogo ni mzuri mno nahisi Kwa baadae atarudi tu nyumbani agent wake yasemekana anampeleka PSG
Amekulia Barcelona tangu akiwa na umri wa Under 8,sasa hivi ana 16yrs. View attachment 1160446
Dogo kafika Barca akiwa n miaka 6 lakini wengi kama tunavyo mjuwa Mino Raioa (agent wa pogba na De Ligt) yeye anapenda pesa kubwa na ahana mahusiano mazuri na Barcelona. Ndio maana baadhi ya member wa board ya barca wanataka kutojihusisha na mchezaji yeyote ambaye yupo chini ya wakala huyu.
 
Namba 17 hiyo hadi msimu kuanza itakua namba 7
IMG_20190803_145203.jpeg
 
Hata sisi attacking force yetu imetulia..Ukizingatia kati pana afya sasaivi messi kazi zitapungua
Tusiwachukulie poa Atletico maana wapo vizuri msimu sasa kama Costa akakiwasha Morata nae akakiwasha na Dogo Joao Felix nae akakiwasha itakuwa horse-race ya nguvu
 
Ney operation

Bartomeu hints of MORE SIGNINGS at the Congrés Mundial de Peñas: "There are weeks left of the transfer market. There will be more incorporations [by the Club]."

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom