Utabiri wangu
Neymar atarudi Barcelona ,instincts ambazo ziliniambia kua atahama ni zile zile tena zimenipa ushahidi wa kurudi alikokuita Home
kwenye professional football sio kitu kibaya ingawa ali tarnish loyalty yake but tukumbuke Neymar sio mhitimu wa Lamasia kwa alichokifanya kwake yeye ni sawa tu.
Technically binafsi nafungua njia ujio wake especially left flank wakati tuna attack tangu aondoke bado kuna shida hata baada ya ujio wa Coutinho .Team tunazocheza nazo wakifunga spaces na kufanya compactness upande wa kulia kwa Messi hua inatuletea shida sana na kumlazimu Messi kwenda deep na kupiga penetrating passes ambazo nyingi zinapotea ,hii ni permanent solution
Financially ujio wake utai cost team italazimika iuze big names waliopo sio chini ya wawili and the proposed list ni Dembele,Coutinho,Malcom plus Ivan Rakitic hapa ndipo kilipo kitendawili at the same time transfer ya Griezman inabidi isimamishwe ,
Je inawezekana?Leo katika viunga cha Barcelona nasikia kuna kikao Kati ya Barthemeou na technical department ya Erick Abidal
Lolote linaweza kutokea ikiwa kama tutaweka priority namba moja ni UEFA ,mwenzenu hadi sasa hivi siamini kama tulitolewa kweli