Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 25,001
- 60,071
Akishinda mnamwita GOAT,wakifungwa mnamwita anduje. Plastic shabiki bwana.Kile kiandnje kile kinajidai sana kile kinajiona yeye ndio yeye yaani hata kikipata mpira kinataka kifungage yeye na vindevu vyake kama rasta za Bob Marley
