FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Hakuna timu hapa nadhan kwa sasa mtarudi miaka kumi nyuma maisha mliyoyazoea tunaoijua Barça miaka kumi iliyopita hii ndio Hali iliyokuwa nayo mashabik wa epl mliokimbia timu zenu n wakat wa kurudi kwenye timu zenu sasa mfadhili wenu naye Hali yake s shwari
 
Kile kiandnje kile kinajidai sana kile kinajiona yeye ndio yeye yaani hata kikipata mpira kinataka kifungage yeye na vindevu vyake kama rasta za Bob Marley
😂😂😂 mkuu kingepata nafas ya kusoma hii comment yako, kingeku-ban usifatlie barca tena!! Kinajionaga kina uungu fln hiv wa mpira
 
Hakuna timu hapa nadhan kwa sasa mtarudi miaka kumi nyuma maisha mliyoyazoea tunaoijua Barça miaka kumi iliyopita hii ndio Hali iliyokuwa nayo mashabik wa epl mliokimbia timu zenu n wakat wa kurudi kwenye timu zenu sasa mfadhili wenu naye Hali yake s shwari
Kwaio mkuu unamaanisha aya yanayoendelea nikama monaco
 
Atoke kama mwenzake rld..jana kimesema watabeba hili kombe kama compasation ya pain ya ucl na hana mpng wa kuondk, sasa kakosa
Kajinga sana hako ka Messi, kubahatisha kuwa Barca ambapo pana kila ufundi wa kutengewa magoli basi kanajidaaai km vile ni kenyewe ndicho kana thamani kuliko wote duniani...pumbavu
 
Barca itateseka sana baada ya messi kuondoka.
Dalili zipo wazi kabisa.
Na haya yote kayataka liverpool wamefanya timu zingine ziidharau barca.

Huu upepo ni mbaya sana.
Kama namuona griezman akijipoteza.
 
Kajinga sana hako ka Messi, kubahatisha kuwa Barca ambapo pana kila ufundi wa kutengewa magoli basi kanajidaaai km vile ni kenyewe ndicho kana thamani kuliko wote duniani...pumbavu
Hlf surely, anduje ana mkosi sana! Mwak jn kimetolewa, mwak huu kimetolewa tena uc, kimefumuliwa tena leo..kina mkosi....national timu hakina kitu, kufunga nywele tuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom