Sawa sawaLa Liga is already in the bag-hapa suala ni how do we deal with liverpool
Sawa mkuuEV anachofanya ni kuzuia makosa aliyoyafanya last season.
Leo Athletico Madrid akifungwa tu basi mechi ijayo Bàrca hata akitoa draw anakuwa bingwa rasmi
match ya Liverpool width sio option ni lazima-na middle of the park lazima iwe total domination ili akina salah wakitaka mpira iwabidi warudi nyuma- kwa mkakati huu Liverpool lazima akae chiniDembele anakaaa sana wide hasogei golini
Alcaser yupo DORTMUNDJina la Paco Alcacer na Gerald Deleouf
Mmoja wapo anatakiwa arudi Camp Nou ili kuimarisha attack formula ya Barcelona
Nimewakumbuka kutokana na performance zao kua on fire Watford (EPL) na Buyern leverkusen (Bundesliga)
Uliwakusikia striker bora duniani akawa muingereza? Barca hawaitaji striker bali wanataka striker bora duniani. Sasa huyo dogo anaweza linganishwa na thamani ya Coutinho?Rushford munamuonaje wakuu! Je anatufaa?
Icardi anaweza sajiliwa kwa kipindi cha mpito wazee, huwezi ghafla kupata successor nadhani sasa tunaweza pata why Barcelona hawakumuuza Thomas Vermalaen tangu wakati huo licha ya kuugua mara kwa mara. Kwa sasa pale nyuma successor kashapatikana ama wapo except for alba ni todibo tu ambaye ana zero competencyTatizo vision iliyopo hapo ni umri, barca tunacheki long term Successor...
Kwanini icard na sio jovic?
Sent by anonymous user
Alishauzwa huyo, paccoAlcaser yupo DORTMUND
Magoli anafungia wapi? Yule kazi yake ni kukusanya kijiji tu kumpunguzia Leo majukumu ya kupigwa viatuDembele anakaaa sana wide hasogei golini
Icardi anaweza sajiliwa kwa kipindi cha mpito wazee, huwezi ghafla kupata successor nadhani sasa tunaweza pata why Barcelona hawakumuuza Thomas Vermalaen tangu wakati huo licha ya kuugua mara kwa mara. Kwa sasa pale nyuma successor kashapatikana ama wapo except for alba ni todibo tu ambaye ana zero competency
Uliwakusikia striker bora duniani akawa muingereza? Barca hawaitaji striker bali wanataka striker bora duniani. Sasa huyo dogo anaweza linganishwa na thamani ya Coutinho?
Coutinho yupo barca kwa mipango maalumu na sasa kazi yake bado haijaanza unadhani barca matahira wamuuze Coutinho?
If Barcelona beat Levante this weekend, Arturo Vidal will win his 8th consecutive league title.
Juventus 2011-15
Bayern Munich 2015-18
Barcelona 2018-19
Unbelievable.![]()
Namsikia rais batoromeu kwenye press zake huwa anasemaga hivi kuhusu mpango maalumu na dembele.. Bado sijaelewaga huo ni mpango gani asee...