FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Piqué: "Valverde? We're not worried right now. We need to do a deeper analysis. We already said that we want him to continue with us, but it's a decision that won't effect us." sikieni uyu mbwa
 
Tatizo Mungu hawezi kukupa kila siku, wakati mwingine wanatakiwa wakae pembeni ss yeye na CR 7 ili tuone wengine watavyopata hizo tuzo, siyo kila siku ugali dagaa hapana wakati mwingine twapaswa kula wali maharagwe au mtori ili papatikane ladha halisi na afya bora
Hlf surely, anduje ana mkosi sana! Mwak jn kimetolewa, mwak huu kimetolewa tena uc, kimefumuliwa tena leo..kina mkosi....national timu hakina kitu, kufunga nywele tuu
 
Tatizo Mungu hawezi kukupa kila siku, wakati mwingine wanatakiwa wakae pembeni ss yeye na CR 7 ili tuone wengine watavyopata hizo tuzo, siyo kila siku ugali dagaa hapana wakati mwingine twapaswa kula wali maharagwe au mtori ili papatikane ladha halisi na afya bora
Messi na Ronaldo tayari jua la magharibi.
Ndo wanaishia hvyo kwenye utawala wao. Wacha tusubiri damu zingine tena.

Ila hizi timu za spain zimetia huruma sana mwaka huu.
 
Kajipumzishe bn maana kila kitu na wakati wake, huoni hata AC Milan, Itermilan, Man U, Bayern Munich, Juventus zinapitia wakati mgumu nakati zilishazoeleka kwa ubora kimataifa, so iwe nongwa kwa Barca kupotea kwa muda ili timu zingine zijitwalie makombe?
Barça n Kama mwanamke asiye na elimu unadhan nn kitatokea .....lazima sehemu zake za Siri ziumie
 
Piqué: "Valverde? We're not worried right now. We need to do a deeper analysis. We already said that we want him to continue with us, but it's a decision that won't effect us." sikieni uyu mbwa
Kashajichokea naye anapaswa astaafu tu asije akajifedhehesha km Puyol alivyochanishwa msamba na De Mareah
 
Messi na Ronaldo tayari jua la magharibi.
Ndo wanaishia hvyo kwenye utawala wao. Wacha tusubiri damu zingine tena.

Ila hizi timu za spain zimetia huruma sana mwaka huu.
Kweli kabisa Chifu, unapocheka leo lazima utambue mwenzio anahuzunika wakati huo na vise versa is true.
 
Mwakan pia kuna dalili kubwa epl kusumbua ulaya.
Timu nyingi zimejichokea.
Ngoja zipumzike tu coz UK wamejitahidi an kugharamika ktk usajili wa juu kwa Wachezaji naakocha ili wapate ubora wa ligi yao kwa muda mrefu lkn bahati mbaya hawakuwa na wakati mzuri kimafanikio zaidi ya kusindikiza tu tangu 2012 Chelsea awe Bingwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom