FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Haka Kagenge Walizani Kumnunua Dembele na Coutinho ndiyo wamenunua Makombe.

Coutinho Flope, Dembele prone injury, Suarez Finished, Messi Jogoo la Shamba haliwiki Anfield, Busquet Kazeeka, Pique kazeeka, Alba uchochoro, Rakitiki Kazeeka, Vidal brainless, Umtiti Finished ....
Sasa munategemea nini?
Jiandaeni kurudi mulipotoka kabla ya 2006.
 
Uchambuzi maandazi kama huu unajikuta una dharaulika sana
 

🤣🤣🤣🤣Waacheni wapumue kiongozi, tusije wakosa
 
Kwani matanga mlisha nyanyua maana bado mnalia tu, ila lazima kieleweke Barcelona ni bingwa wa Spain tu na team bora ya Spain sio dunia ,dunia hii inazo team zake wote mnazifahamu. Majonzi mema
 
Uchambuzi maandazi kama huu unajikuta una dharaulika sana
Mminie na chai amezee kabisa",

Timu imebebe CL 5 unaichukulia poa tu kisa haina messi.

ANFIELD kiwanja kigumu linapokuja suala la kuhitaji matokeo CL. Yaan Liverpool ajue anahitaji 1-0 or 4-0 afuzu kwakeee anakutibu tu.
Kikosi cha kawaida kile ila mziki wameucheza.

YNWA
 
It may take them time to rebuild barca again.
Wamekuwa wakisajili sana badala ya kukuza tena watoto kutoka lamasia hii nayo inawacost.
Watoto wa lamasia wanawauza city na sasa city ndo ana academy bora.
 
Kilichonishangaza ni wakina windj na origi.
Wachezaji wauliotolewa relegation zone wakafanyaa vile kuifunga great barca kweli mpira ni spirit.
 
Kilichonishangaza ni wakina windj na origi.
Wachezaji wauliotolewa relegation zone wakafanyaa vile kuifunga great barca kweli mpira ni spirit.
Klopp ni bonge la kocha ambae anajua kudeal na players vilivyo" anamgeuza mchezaji aliyekua galasa kua key player (not all but many)

Wakat mwingine maamuzi yake mabovu ndio humuangusha",.
Sasa unaona Gini & Origi tu wamefanya kweli.

YNWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…