Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
Ila ya kina Gaucho ilibeba ndoo 2009
Point of correction mkuu final n wonder metropolitan kwa ATLETICO MADRID
Kuna mtu alikua anashangilia eti possession Liverpool anaongoza
Nikamuambia yule ndie master Velverde, kuhusu possession sahau sio kigezo sana kwake ,he is so concerned about accuracy na ndio maana hatupigi mashuti golini kwa adui ovyo ,inatakiwa ukipiga goli...no wastage
Salamu ziwaendee Anfield tunakuja kucheza kama match ya kwanza tulipoteza
The same first eleven ila Semedo ataanza
Am very angry at Velverde
2 times anafanya same mistake
Mistake au mlizidiwa uwezo tu, kwenu kwenyewe mlipata zali tu .First Leg
Second Leg
Bonge la Come back
2006 ndo ile ya Paris. Barça vs Arsenal.No, ya Gaucho ilichukua 2006, hiyo 2009 ni ya kina Etoo, Messi, Xavi, Iniesta chini ya Pep (Gaucho alishatimka tayari).
Etoo anafunga goli la kwanza, Messi anamaliza la pili dhidi ya Man United.
2006 ndo ile ya Paris. Barça vs Arsenal.
Ha ha haaa,kazi ya Liverpool ni kuwaadabisha wale wote walioshindikana na wengine.wanaojifanya vitimu vya duniamii jamanani naona huu ndio mwaka wangu wa mwisho kushabikia mpira barca imenifanya nisipate usingizi nikijiuliza kwanini cpati jibu mutanisamehe lakini nimeshabikia barca muda mwingi ila hii ya leo imekithiri kwangu sikulala hataka daku sikuweza kula bora tuu niache kushabikia niombeeni dua kwa hili mpira acheze messi na wenzake halafu mie nikose usingizi
Mkuu wamekukoma,hawatarudia tena
Barça wamekumbusha kule Roma last yr. Barça mmeniangusha tena. Yaani naikumbuka Barça ya Etoo,Gaucho,iniesta,Xavi,decco. Puyol
Busquets ana 29,naona Leo mmekuja kutupigia kelele wanaume
Umejawa na maneno ya kukaririshwa sana hata kama unaona utataka usimuliwe30 year old ni kijana kwenye soka la leo?
Ama kweli mahaba yakizidi ni shiida
View attachment 1091873
Halafu alivyokuwa mpumbavu anasema alijua Liverpool watakuja kupress high lakini likaja kuzuia weka kiungo wa kucheza kati kuunganisha timu anaweka vidal mkabaji badala ya arthur melo kipindi cha kwanza kimeisha bado aka remain bold kama vile kabet klop alivyoona upuuzi wake akaongeza zaidi mtu wa kupress anakuja kustuka baadae.... Mamaae zake kama anakungutwa kazi kukalia kiti tu msengerema yule
Umejawa na maneno ya kukaririshwa sana hata kama unaona utataka usimuliwe
It's just the beginning, mwakani tutachukua no problemPole sana mkuu
Barca ya sasa is a one man team/army na sio ilee ya akina Gaucho
Kwa style hii utasubiri sana UCL
Pole sana
It's just the beginning, mwakani tutachukua no problem
We haumkubali Messi still unakubali ni one man team(tuna depend sana on him)Ha ha ha
Labda mwakani
Acha ujinga weweHahahaa kichapo cha mbwa koko
EPL imejithibitishia kuwa ni league bora
We haumkubali Messi still unakubali ni one man team(tuna depend sana on him)