FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Uko sahihi. Lakini kuna mchezaji gani kwa sasa anaweza kuvaa Viatu vya Messi kama kesho anastahili? Messi ndio X factor ya Barca kwa sasa

Nikiweka ushabiki pembeni, Messi ameipa Barca mafanikio makubwa na yasiyoelezeka kuliko mchezaji yeyote yule aliechezea Barca...

Wakati Messi anaanza kucheza timu ya wakubwa mwaka 2004, Barca ilikuwa na 61 trophies, miaka 15 baadae Messi ndani ya Barca 95 trophies...Messi acha aitwe Messi, na ndie injini ya Barca hili wala halina ubishi...

Ukija kwenye La liga Messi ndie mchezaji wa kwanza kushinda la liga mara 10...

Messi has won a total of 30 trophies, till date. This includes 11 domestic cups, 8 league titles, 4 Champions League titles, 3 UEFA Super Cups, 3 Club World Cups and 1 Olympic Gold Medal with Argentina
.

Je kuna mchezaji gani aliyepita na wa sasa aliyeiletea mafanikio Barca kama ambavyo tumeona kwa Messi!! Hakuna....kwahiyo kusema swala la kuja kuvaa hivyo viatu vyake may be, lakini sio kwa sasa..itachukuwa miaka mingi au asitokee kabsaa.

Kuhusu ubaguzi sitaki kuchuma dhambi bure, mitandao sometimes sio ya kuamini...so hakuna anaejuwa ukweli halisi...kwangu mimi hicho kitu siamini.

Pep atabakia kuwa Pep

Na Messi atabakia kuwa Messi
 
Naona umehamisha magori Greizman na kinga pogba wana WC lakni hawafikii ata theluthi ya ubora wa king

Hayo ni maneno ya Argentina fans niliokutana nao in S. America in person. Wamesema siku Messi akishinda World Cup ndio watampa heshima ya Maradona. Until now, in their own words, Maradona atabaki juu ya Messi
 
Swali la kizushi-kutokana na Messi anavyojibadilisha kama kinyonga katika uchezaji wake-unafikiri how many more years anazo katika top flight?
 
Jana nilikua nawaangalia Chelsea na Man U. Nikakumbuka vile Barca imewanyanyasa Man U, alafu Chelsea wanashindwa kuwafunga.

Nikakumbuka vile Barca amewanyanyasa Tottenham hapo Wembley, then wakadroo na Barcelona B Camp Nou. Alafu nikakumbuka eti hao Tottenham ndio wamemzuia Man City.

Kuna kitu kimoja niliconclude. EPL is the most competitive league in the the world. Sababu ni moja tu, all teams are average!

Barca na Madrid wanatawala Laliga sababu quality yao ni above ordinary standards. Ndio maana ni ngumu kwa team kama Sevilla kushinda Laliga mbele ya hawa jamaa wawili.

Ila akina Sevilla wakikutana na hawa jamaa wa EPL, sote tunafahamu nini hua kinatokea. Sio Man U, sio Liverpool wala Chelsea aliefurukuta kwa Sevilla.

Tukubaliane tu, kwenye club football kuna team ambazo ni too good to compete against other teams. Hapa utaiongelea Barca, Madrid na Bayern japo Madrid na Bayern hawako form kwa sasa. Baada ya hapo ndio linakuja daraja la pili lenye hawa wengine kama Liver, City, Chelsea, Man U, Atletico, PSG, Juve and the like.

Mwisho, nakubali EPL is the most competetive league (not the best), sababu ya uwezo wa team nyingi kuendana. Ila ukiongelea the best, tunaongelea achievements ambapo UCL na EUROPA league comes into play. For the last ten years, its Laliga!
Mkuu uko sawa kabisa. Hili suala la ligi ipi bora zaid kati ya la liga na EPL tulishalihitimishaga zamani tatizo mashabiki wa EPL team wanaangalia kigezo kimoja tu cha competition ambacho kwa kias kikubwa kinachangiwa na team nyingi za EPL kuendana viwango. Ni kosa kubwa sana team kama Liverpool,Chelsea,asernal, kuziweka kundi moja na Realmadrid na Barcelona ndo maana unaona zinadominate Spain na ulaya kiujumla.

Kama mnagangania kigezo cha competition basi ligi bora ulimwenguni ni ya Brazil maana kila msimu bingwa anachukua timu nyingine tofauti.
 
Uko sahihi. Lakini kuna mchezaji gani kwa sasa anaweza kuvaa Viatu vya Messi kama kesho anastahili? Messi ndio X factor ya Barca kwa sasa
Katika sayari hii hakuna anaeweza kuvaa viatu vya Messi. Barca wanalijua hilo. Messi hawezi kua replaced na mchezaji mmoja, anakua replaced na system ya wachezaji kadhaa.

Ndio maana unawaona akina Dembele na makinda wengine wakisajiliwa. Kuna kitu kinatengenezwa, team inaandaliwa!

Kwa maandalizi tuliyoyaanza mapema, team haitapata shida sana kwenye transition period kama wanayopitia Madrid. Ronaldo kawaacha ghafla, akina Modric umri unawakataa. Kifupi hawakuwa tayari.

Stay calm, and watch Barca!
 
Hayo ni maneno ya Argentina fans niliokutana nao in S. America in person. Wamesema siku Messi akishinda World Cup ndio watampa heshima ya Maradona. Until now, in their own words, Maradona atabaki juu ya Messi
Hata wakisema hao si mashoga tu
 
Katika sayari hii hakuna anaeweza kuvaa viatu vya Messi. Barca wanalijua hilo. Messi hawezi kua replaced na mchezaji mmoja, anakua replaced na system ya wachezaji kadhaa.

Ndio maana unawaona akina Dembele na makinda wengine wakisajiliwa. Kuna kitu kinatengenezwa, team inaandaliwa!

Kwa maandalizi tuliyoyaanza mapema, team haitapata shida sana kwenye transition period kama wanayopitia Madrid. Ronaldo kawaacha ghafla, akina Modric umri unawakataa. Kifupi hawakuwa tayari.

Stay calm, and watch Barca!
You are damn right,cometh the day Messi hangs up his boots-Barca will never be caught napping like Real Madrid visa-vis Ronaldo.
Madrid are in turmoil sorting out the mess may take them ages
 
Katika sayari hii hakuna anaeweza kuvaa viatu vya Messi. Barca wanalijua hilo. Messi hawezi kua replaced na mchezaji mmoja, anakua replaced na system ya wachezaji kadhaa.

Ndio maana unawaona akina Dembele na makinda wengine wakisajiliwa. Kuna kitu kinatengenezwa, team inaandaliwa!

Kwa maandalizi tuliyoyaanza mapema, team haitapata shida sana kwenye transition period kama wanayopitia Madrid. Ronaldo kawaacha ghafla, akina Modric umri unawakataa. Kifupi hawakuwa tayari.

Stay calm, and watch Barca!

Kabisa namuona sergio akiwa replaced na Frankie Dejong Arthur melo ni iniesta typically wakimvuta na huyu dogo De light Daah kazi itakuwa imekwisha kabisa
 
New barca.. Kwa wale wanaodhani Barça itaenda kufa.
IMG_20190430_103515.JPG
 
True, Messi has never scored against Liverpool .

The two times Messi has played Liverpool, he was still wearing jersey number 19.

When he first faced Liverpool, he had only played 51 official games for Barcelona, mostly as a substitute

So... brace yourselves for Wednesday! #UCL
 
Mimi huwa naamini kigezo kikubwa cha ligi kuwa bora ni aina ya wachezaji na vipaji vya wachezaji walio kwenye ligi.Ligi ya uingereza ina miaka zaidi ya kumi ambapo wachezaji wake either hawaingii kwenye fifa XI pro wala kuchukua ballon d'or.Mchezaji anayeaminika kabisa kwa ubora England ni wa kawaida zana Spain na hata anapokuja kung'ara inakuwa imemchukua muda mrefu sana na mifano hai tunayo kutoka kwa Mc Manamann,Owen,Beckham,Emannuel Petit,Henry,Coutinho na wengineo wengi.
Huwezi kutumia kigezo cha ushindani kuwa ndiyo ubora wa ligi hata illiterate players bado wanaweza kupose competition kubwa tu lkn ubora wa ligi ni kuwa na elite players na hilo Spain wamefanikiwa kwa sababu ya aina ya wachezaji wanaowaitergrate kwenye ligi yao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom