FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Hahaha city ana tutaji tuwili tu. Kuna mdau hapo juu kafafanua vizuri duh nisije maliza MB kisa ubishi ndani ya uzi huu
Mimi nakuzingatia wewe sifatilii mdau mwingine zaidi yako binti mpole 😂😂

City ana mataji matatu na msimu huu wanakuanayo manne na misimu ijayo mtazidi kunisaidia kuhesabu
 
Unaongelea 1st season! Na sahii anaenda kuchukua back2back epl.. Namna gani wewe!!.. Na tot sio kwamba walimfunga pep ucl walifungwa vizuri tu. Pep ujiniaz mwingi ulimponza 1st leg.

Unaongelea usajili kwa city ambayo tayari iko kwenye form ya ushindi na acha bwana..

Mwakani anabeba tena.
Mkuu you never know with EPL. Pep alitulizwa na akaumbuliwa during his first season.
Tottenham wamemtuliza tena quarterfinal ya UCL tena bila kusajili hata mchezaji mmoja msimu huu!
Next season kila timu inajipanga na kutakuwa na VAR so huwezijua nini kitatokea na hapo adrenalin rush ndio inapanda na ndio utamu wa EPL
 
Jibu hili hapa. Hadi saiv EPL bingwa hajajulikana,top four kivumbi kitupuView attachment 1083831 next season bingwa hajulikani

Ila La liga mambo yameshaisha zamaaniView attachment 1083832 na next season bingwa kama sio barca basi ni R madrid
Sasa hata EPL mbona bingwa wa msimu huu na ujao ni Man city tu anajulikana labda kama wew haujui pole yako
 
Unaongelea 1st season! Na sahii anaenda kuchukua back2back epl.. Namna gani wewe!!.. Na tot sio kwamba walimfunga pep ucl walifungwa vizuri tu. Pep ujiniaz mwingi ulimponza 1st leg.

Unaongelea usajili kwa city ambayo tayari iko kwenye form ya ushindi na acha bwana..

Mwakani anabeba tena.

Sasa kama Pep aliwafunga Spurs si angekuwa anasubiri kucheza na Ajax mkuu?
Mkuu VAR itasaidia sana kuleta utamu zaidi EPL msimu ujao
Kwa kifupi timu za EPL zinajuana sana na ManCity wana chance kubwa sana ya kutetea ubingwa lakini sio guarantee Pep kushinda msimu ujao
 
Sasa hata EPL mbona bingwa wa msimu huu na ujao ni Man city tu anajulikana labda kama wew haujui pole yako

Ngoma bado ingawa akishinda mechi zote zilizobaki ni bingwa.
Msimu ujao hauna mwenyewe.
Ila Barca ndio bingwa msimu ujao La Liga
 
Mimi nawashangaa sana ambao hawaoni hii fact..

Barca tumekuja na msemo juzijuzi tu

"WE MAKE EXTRAORDINARY SEEM NORMAL"

MTU kuchukua 8 cup inaonekana normal sababu ya uwezo wetu..

Messi vitu anavyofanya ni extraordinary lkn kwakuwa vimezoeleka kwa miaka mingi tunaona vya kawaida.

Barca hatukua vizuri hadi Cruyff kuintroduce Cruyffball..

Cruyff anasema kucheza michezo mpira ni kitu rahisi lkn kucheza mpira rahisi ni kitu kigumu.

Kuwa na wachezaji wa kariba ya messi Xavi Iniesta tuliwweza kubadilisha sura ya mpira.. Watu kwa roho tu hawaappreciate icho kwa kusema eti liga ni ligi rahisi sijui ligi ya timu moja.. Ni uwezo tuu


Basi kaka ni hivyo hata epl ni ligi ya timu moja tukisema man u kachukua mara 13 wengine wakifwatia mbali..

Waache hayo maneno,
Jana nilikua nawaangalia Chelsea na Man U. Nikakumbuka vile Barca imewanyanyasa Man U, alafu Chelsea wanashindwa kuwafunga.

Nikakumbuka vile Barca amewanyanyasa Tottenham hapo Wembley, then wakadroo na Barcelona B Camp Nou. Alafu nikakumbuka eti hao Tottenham ndio wamemzuia Man City.

Kuna kitu kimoja niliconclude. EPL is the most competitive league in the the world. Sababu ni moja tu, all teams are average!

Barca na Madrid wanatawala Laliga sababu quality yao ni above ordinary standards. Ndio maana ni ngumu kwa team kama Sevilla kushinda Laliga mbele ya hawa jamaa wawili.

Ila akina Sevilla wakikutana na hawa jamaa wa EPL, sote tunafahamu nini hua kinatokea. Sio Man U, sio Liverpool wala Chelsea aliefurukuta kwa Sevilla.

Tukubaliane tu, kwenye club football kuna team ambazo ni too good to compete against other teams. Hapa utaiongelea Barca, Madrid na Bayern japo Madrid na Bayern hawako form kwa sasa. Baada ya hapo ndio linakuja daraja la pili lenye hawa wengine kama Liver, City, Chelsea, Man U, Atletico, PSG, Juve and the like.

Mwisho, nakubali EPL is the most competetive league (not the best), sababu ya uwezo wa team nyingi kuendana. Ila ukiongelea the best, tunaongelea achievements ambapo UCL na EUROPA league comes into play. For the last ten years, its Laliga!
 
Totally domination.. Hatari sanam
Let's leave it in the hands of time!



Kuna wakati EPL ilikua kwenye ubora, walitisha sana mpaka wakawa wanakutana wao kwa wao fainali UEFA (Chelsea na Man U).

Ila kwa sasa ni zamu ya Laliga. Na naiona Laliga ikiendelea kutawala kwa muda mrefu mpaka League nyingine zitakaposhtuka na kuanza kukusanya wachezaji bora!

Hebu fikiria, Hazard aende Madrid, akutane na world class wengine. Huku Barca ana akina Dembele, De Jong, Coutinho, Arthur na wengine. Unafikiri tutaacha kuwaonea hawa jamaa wa EPL wanaowategemea akina Rashford na Guendouzi?
 
Miaka kama 10 iliopita swali lilikuwa "What's the future of Barça without Ronaldinho"

Mzee subiri Barça haito isha kukushangaza
Jibu zuri sanaaaa... Agiza juisi..

Watu wanadhani bodi imekaa tu.. Tulia waone.

Na messi kustaafu ni hadi 40s watasubiri sana
Ha ha ha!! Gendouzzi hawezi kucompete at UCL level

Mkuu Nina imani Pep akijipanga vizuri atatoa changamoto sana kule UCL
Ukizingatia Messi in the next few years he’ll call it quits. The question comes: what’s the future of Barca without Messi?
 
Izi mentality zenu zitatolewa na pep, tulia.
Sasa kama Pep aliwafunga Spurs si angekuwa anasubiri kucheza na Ajax mkuu?
Mkuu VAR itasaidia sana kuleta utamu zaidi EPL msimu ujao
Kwa kifupi timu za EPL zinajuana sana na ManCity wana chance kubwa sana ya kutetea ubingwa lakini sio guarantee Pep kushinda msimu ujao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom