SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,923
Head 2 Head Barca n mnyonge kwa livaView attachment 1083960
Mkuu usitegemee sana history.
Head 2 Head Barca n mnyonge kwa livaView attachment 1083960
Miaka kama 10 iliopita swali lilikuwa "What's the future of Barça without Ronaldinho"Mkuu Nina imani Pep akijipanga vizuri atatoa changamoto sana kule UCL
Ukizingatia Messi in the next few years he’ll call it quits. The question comes: what’s the future of Barca without Messi?
Mkuu usitegemee sana history.
Turudini kwenye mipango yetu ya Uefa tutawezaje kuwazuia hawa kina Mane na beki zetu zile kina lenglet ?
izo app zenu izo yaan 2016 semi final tulipigwa 4 bila n liverpool. au ligi ya mbuziHead 2 Head Barca n mnyonge kwa livaView attachment 1083960
kwa beki ya barca bado napata kigugumizi
Hahah!Labda alikuwa anaota Chifu![]()
Miaka kama 10 iliopita swali lilikuwa "What's the future of Barça without Ronaldinho"
Mzee subiri Barça haito isha kukushangaza
Miaka mingi huu wimbo umekua ukiimbwa lakini jamaa wanatoboa tukwa beki ya barca bado napata kigugumizi
kwa beki ya barca bado napata kigugumizi
Miaka mingi huu wimbo umekua ukiimbwa lakini jamaa wanatoboa tu
Jamaa wanakuja na matango pori kishenzi 😂😂😂izo app zenu izo yaan 2016 semi final tulipigwa 4 bila n liverpool. au ligi ya mbuzi
Uko sahihi. Lakini kuna mchezaji gani kwa sasa anaweza kuvaa Viatu vya Messi kama kesho anastahili? Messi ndio X factor ya Barca kwa sasa
Uko sahihi. Lakini kuna mchezaji gani kwa sasa anaweza kuvaa Viatu vya Messi kama kesho anastahili? Messi ndio X factor ya Barca kwa sasa
Nikweli itakua shida lakini Barca wamekua wakitegemea zaidi umiliki wa mpira(Ball possession) kama njia moja wapo ya kujilindatukiweka mapenz pemben ile safu ya ushambuliaj ya liva n ya moto sana lazima kina pique watulie
Wapo wengi tu hata Messi anaelewa hilo, kwani Messi akistaafu, akiumwa, akifa au kuhama Barca ndipo kutakuwa mwisho wa Barca kuwa na mafanikio?
Au kabla ya Messi kung'aa Barca hawakuwa na wachezaji waliokuwa wakifanikiwa vzr tu kuichezea nafasi yake kama sasa hivi?
Au miaka mi3 ambayo R.Madrid walikuwa wanabeba kombe la UEFA mfululizo Messi hakuwa akivaa hivyo viatu vyake?
Alifanya kipi hasa ili kuiwezesha Barca ichukue hilo kombe hata mara 1 tu?
Acha kumtukuza Binadamu kama Mungu![]()
Messi akistaafu hautakuwa mwisho wa Barca lakini Barca itarudi enzi zake za kuwa timu ya kawaida
Binafsi nilikuwa mshabiki mzuri sana wa Barca alipokuwa Eto'o na Gaucho, nilikuja kuichukia Barca baada ya ubaguzi wake wa rangi hasa juu ya Waafrika.
Barca ilikuwa makini hata kabla Messi hakuanza kung'aa chini ya Rijkard lkn bado iliendelea kuwa vzr zaidi ilipokuwa na Messi.
Linapokuja swala la maajabu ya mpira huwa hakuangaliwi ball position bali ushindi tu.
Unakumbuka ile mechi Barca anatolewa na Intermillan, ni timu ipi ilistahili kutolewa kati ya Barca na Intermillan?
Man City umempunja 😂 bhana
Here the teams with more La liga titles since 1992
Barcelona 13
Real Madrid 8
Atletico Madrid 2
Valencia 2
Sijaona tofauti hapo. Pia humo kuna watu kama Leicester city washajitokeza Mbona kina Deportivo De La Coruna