FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

You are damn right,cometh the day Messi hangs up his boots-Barca will never be caught napping like Real Madrid visa-vis Ronaldo.
Madrid are in turmoil sorting out the mess may take them ages
A wise man once said, dig your well before you're thirsty!

They didn't!
 
Yani kuna watu mnaongea bila kua na kumbukumbu.
Hivi man city mwaka Jana alichukua akiwa amebakiwa na mechi ngapi?
Afu hiyo ya EPL ndo lingi ambayo timu zilizoshuka daraja zilishajulikana muda mrefu kabla ya mechi saba kuisha afu mnasema ina upinzani.
Hiyo ligi upinzani upo kwenye timu sita tu hizo zingine zinasindikiza
 
Sasa huoni ubora hapo,upinzani timu 6 zote hizo,kuliko hispania timu 2 tu.madrid na Barcelona
 
I'm scaring that liverpool has never been knocked out by barcelona for 43 years in europe.
Even been beaten at nou camp

Na kama barca atacheza kama alivyocheza na levante wiki hii.
I wish that record will continue
 
Kumfunga liver ni sawa na kumbaka mwanamke mlevi
 
Hawa Spurs hawaitendei soccer haki-anyway ndio timu za EPL zilivyo hata Liverpool kesho atapigwa possession soccer
acheni kukariri huyo Ajax kafanya nini zaidi ya kufunga goli la uzembe wa spurs kucheza offside trick ,acheni kukariri angalieni takwimu hazidanganyi ,Spurs alichozidiwa na Ajax ni goli tu na bahati kwao miamba ya spurs haikuwepo wangetafutana hapo ,unacheza na spurs winks, Kane, son, lamela, vento kaumia hao wote hawapo. Ajax kapiga pass468 completed 364 ,Spurs 476 completed 352,on target Ajax 2 ,spurs 1 ,off target Ajax 3 spurs 7 ,saves ni 1 kwa 1 ,faul ni 14 kwa 14 ,yellow Ajax 1 spurs 0 .msikuze vitu visivyokuzika
 
Uko serious unaona hizo takwimu ni sawa kwa upande wa Tottenham tena wakiwa nyumbani?
 
Intermilan 3 Barca 1 possession inter 7 Barca 93
Mpira sio vyenga na pass ni gori
 
Takwimu hazijaendana na matarajio ya wapenda soka la total football watu walijua spurs atakufa nyingi, watapigiwa mpira wakutosha lakini hakukuwa na kipya, kumbuka ajax anavyocheza Home and away ni vilevile,pia kukosekana wachezaji muhimu spurs ndio kumewapa goli imagine wao wangewakosa watu watatu zeyech, de jong, tadic hali yao ingekuwaje spurs kaonyesha ukomavu wa hali ya juu, Kane, winks, son.Tuweke mapenzi pembeni football ni mchezo wa adharani
 
acheni kukariri huyo Ajax kafanya nini zaidi ya kufunga goli la uzembe wa spurs kucheza offside trick ,acheni kukariri angalieni takwimu hazidanganyi ,Spurs alichozidiwa na Ajax ni goli tu na bahati kwao miamba ya spurs haikuwepo wangetafutana hapo ,unacheza na spurs winks, Kane, son, lamela, vento kaumia hao wote hawapo. Ajax kapiga pass468 completed 364 ,Spurs 476 completed 352,on target Ajax 2 ,spurs 1 ,off target Ajax 3 spurs 7 ,saves ni 1 kwa 1 ,faul ni 14 kwa 14 ,yellow Ajax 1 spurs 0 .msikuze vitu visivyokuzika
Wewe nae,mtu kapata goal ugenini,anaamua ku conserve energy for the return encounter-wewe unaona Spurs were good-return leg yaweza kuwa massacre
 
Intermilan 3 Barca 1 possession inter 7 Barca 93
Mpira sio vyenga na pass ni gori
Mwenzako kasema Team za England hazitendei haki football katoa mfano wa Ajax kupossess game kuliko spurs wakati mchezaji mmoja tu sissoko kawa chafua viungo wote wa Ajax, alipoingia mambo yalibadilika, Ajax wazuri sana ila walizifunga team zilizojaa wazee,walichofanya ni kuwa Press wakakubali wakikutana na vijana wenzao ni wakawaida sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom