FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Sasa hiyo ndiyo league yenye ushindani mkuu na ndiyo maana team zake zinaleta ushindani wa hali ya juu ulaya

Mkuu kwani UCL na Europa si yamekuwepo since 1960s sijui 50s hadi leo.
Kutesa ni kwa zamu
Kuna wakati timu za Portugal zilisumbua sana (Benfica na Porto),
kuna miaka timu za Italy zilitamba mnoo (AC Milan, Juventus na hata akina Napoli na Inter) kuna wakati timu za England zilitamba (ManU, Nottingham Forest, Liverpool)
na kuna wakati timu za Germany ( Bayern Munich, Hamburg na Glabach), Netherlands (Ajax, PSV na Feyenoord) na hata France (Marseille) zilisumbua
 
Tuombe Spurs amfume Ajax-nadhani Barca tatizo let ni Ajax na sio Liverpool. Having watched Ajax in this tournament-hawa ni hatari kwa ndoto zetu

Sometimes football inakuwa na results za kushangaza. Barca are the favorites to win it all, but at the same time, anything could happen, including surprises!
 
Haijawahi kutokea,labda Kama Ni za mtaani kwenu.kabla hujapost jiridhishe kimaarifa

Okay nilipitiwa, ni Sevilla na sio Villareal 👇



Final 👇
Screenshot_20190429-004212_Chrome.jpg


Hiyo ndio mnaiita ligi bora, waendelee kuuza sura tu...ubingwa watausikia redioni
 
Tuombe Spurs amfume Ajax-nadhani Barca tatizo let ni Ajax na sio Liverpool. Having watched Ajax in this tournament-hawa ni hatari kwa ndoto zetu
Kweli, madogo wanatisha na wanafighting spirit to the last drop of their blood
 
kwa jinsi vijana wanavyokuwa na upendo nje na ndani ya uwanja aisee hawa matetea wajiandae hile furaha ya kuchukua ndoo hakika kuna waingereza jumatano watapata tabu sana na kuchakaa sana
 
Tokea ulivyokosea taarifa yako lkn uliandika kishabiki nilijua ewew nitu wa aina gani...so sibishani nawe

Kwa taarifa yako Kubishana sio asili yangu kijana...wewe anzisha tu mada yako utapata wengi tu wakubishana-nao...ila ukweli nimekupa...

Screenshot_20190429-004212_Chrome.jpg
8
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom