FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Na hiyo unayoitaja bora ni kwako pia

La Liga haina mvuto.
Zaidi ya El Classico, Madrid derby and Barca vs Atleti, hakuna mvuto wowote.
EPL is the most watched league under the sun and it’s exciting to watch hata kama haijatoa UCL champ itaendelea kuwa the most watched and the most exciting and even the best league in the globe
 
This is ur view ,your perception and your world hatuwezi kukukatalia kuishi kwenye dunia yako
Lets us leave ours too
 
This is ur view ,your perception and your world hatuwezi kukukatalia kuishi kwenye dunia yako
Lets us leave ours too

Sio maneno yangu Bali ndio facts.
Hivi unafahamu hata England Championship ina viewers wengi duniani kuliko La Liga?

IMG_4914.JPG
 
Google is free.
You can get all the facts and data. Do yourself a favor via reading and research instead of arguing against facts
To the man in the streets,tell him about winning trophies and not about what is most watched,what is tough etc etc-hawezi kukuelewa-and that's were the likes of Barca come into play
 
La Liga haina mvuto.
Zaidi ya El Classico, Madrid derby and Barca vs Atleti, hakuna mvuto wowote.
EPL is the most watched league under the sun and it’s exciting to watch hata kama haijatoa UCL champ itaendelea kuwa the most watched and the most exciting and even the best league in the globe
Lakini atletico bilibao na sevila wanampiga man u UEFA kama wanacheza na Granada tu
 
Kuwa na viwers sio kigezo Acha kuwaza kibeberu wewe
Kabisa tangu miaka ya 2000 mpaka sasa Spain inanyanyasa sana kuanzia Europa na uefa kwa ngazi ya clabu, sasa sijui wanapima kwa lipi ukiondoa Madrid na Barcelona altetico madrid, Sevilla na Valencia bado wanauwezo wa kusumbua big four za timu zote za ulaya bila shida yoyote.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom