FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Hiyo fainali Villareal alishinda ngapi mkuu

Sorry kamanda wangu, ni Sevilla na sio villareal...

Screenshot_20190429-004212_Chrome.jpg
 
Jibu hili hapa. Hadi saiv EPL bingwa hajajulikana,top four kivumbi kitupuView attachment 1083831 next season bingwa hajulikani

Ila La liga mambo yameshaisha zamaaniView attachment 1083832 na next season bingwa kama sio barca basi ni R madrid
Hivi ni kweli bingwa wa EPL bado hujamjua au bingwa wa msimu ujao humjui?

La liga imeisha Barca kachukua ubingwa ikiwa bado ana game 3 mkononi hiyo ni kawaida kabisa kwa ligi yeyoye duniani ata hapo EPL huwa inatokea rejea huu msimu wa 2007
Screenshot_20190429-110602.png

Au huu wa juzi hapa 17/18 tena man city anakula Points 100
Screenshot_20190429-111414.png
Hao wote walitangaza ubingwa katika mazingira kama ya Barca tu....
 
Kuna tofauti kubwa sana na ndondo cup. Sijawahi shuhudia liver,man u,barca,atlec madrid etc wakihairisha mechi za ligi kisa wana mechi za UCL

Ndondo hawa wanaopewa penalt ili mradi tu washinde mechi leo wa kuwafananisha na ligi kama EPL ,La liga aiseee
Numbisa umbe unashabikia butua butua!!, hata ndondo cup mshindi hajulikani.
 
EPL nadra sana kutokea hali hio. Bingwa bado hajajulikana,najua tu unavutia kwako city ila liver nae ana chance kubwa ujue

Pia mshindi wa pili na watatu EPL huwa hatabiriki ila La Liga anatabirika mapema tu
Hivi ni kweli bingwa wa EPL bado hujamjua au bingwa wa msimu ujao humjui?

La liga imeisha Barca kachukua ubingwa ikiwa bado ana game 3 mkononi hiyo ni kawaida kabisa kwa ligi yeyoye duniani ata hapo EPL huwa inatokea rejea huu msimu wa 2007
View attachment 1083870
Au huu wa juzi hapa 17/18 tena man city anakula Points 100
View attachment 1083871 Hao wote walitangaza ubingwa katika mazingira kama ya Barca tu....
 
EPL nadra sana kutokea hali hio. Bingwa bado hajajulikana,najua tu unavutia kwako city ila liver nae ana chance kubwa ujue

Pia mshindi wa pili na watatu
EPL huwa hatabiriki ila La Liga anatabirika mapema tu
Heheh! Hakunaga mshindi wa pili au wa tatu binti mpole, mshindi huwa ni mmoja tu ambae msimu huu ni City na msimu ujao ni City vile vile......

Mminyano unaotaka wewe sindio kama huu
Screenshot_20190429-113216.png
Achana na timu mbili kuwania ubingwa hapa zilikua timu tatu zote zilikua na nafasi ya kuchukua ubingwa mpaka mechi ya mwisho kabisa wa msimu ndio Bingwa anajulikana tena ni Atletico yule ambae hujamuweka hapo kwenye ulivyosema ni Ligi ya timu mbili....

England wanajua sana kuvipa promo vitu vya kwao na hii sumu huwa inatuingia adi sisi....
 
Hahaha dave bana kwan hujui kuna zawadi ya mshindi wa pili,watatu,nne?

Ukweli mchungu ukubalini tu,ni nadra sana hizo timu nyingine kudaka ubingwa.

Msimu huu bingwa anaweza kuwa liver ee ujao haitabiriki kabisaaa nakataa city kuwa bingwa tenaaaa
Heheh! Hakunaga mshindi wa pili au wa tatu binti mpole, mshindi huwa ni mmoja tu ambae msimu huu ni City na msimu ujao ni City vile vile......

Mminyano unaotaka wewe sindio kama huu View attachment 1083894 Achana na timu mbili kuwania ubingwa hapa zilikua timu tatu zote zilikua na nafasi ya kuchukua ubingwa mpaka mechi ya mwisho kabisa wa msimu ndio Bingwa anajulikana tena ni Atletico yule ambae hujamuweka hapo kwenye ulivyosema ni Ligi ya timu mbili....

England wanajua sana kuvipa promo vitu vya kwao na hii sumu huwa inatuingia adi sisi....
 
Hahaha dave bana kwan hujui kuna zawadi ya mshindi wa pili,watatu,nne?

Ukweli mchungu ukubalini tu,ni nadra sana hizo timu nyingine kudaka ubingwa.

Msimu huu bingwa anaweza kuwa liver ee ujao haitabiriki kabisaaa nakataa city kuwa bingwa tenaaaa
Kwani hapo EPL ukimtoa City, United na Chelsea ni timu gani nyingine kuchukua ubingwa kwao sio nadra?

Msimu huu bingwa hawezi kua Liver na msimu ujao City ndio bingwa, kama ulivyosema ukweli ni mchungu basi wacha na mimi nikwambie City ndio watawala wapya wa hiyo Ligi japo wengi watakataa hili
 
Sasa kama ligi bora ni La Liga kwa kigezo hicho basi kila mwaka bingwa wa UCL na Europa angetoka Spain toka mashindano haya yalipoanza miaka ya 1960s
I suspect umeanza kufuatilia soka majuzi tu

Endelea na dhana yako kuwa nimeanza kufuatilia soka majuzi...Povu limekutoka baada ya Barca kuwa bingwa sio! Mbona kabla ya hapo hukupost chochote!!!! Kuwa mstaarabu/hekma kijana!


UEFA Europa League Past Winners

Sevilla has won Europa League record 5 times while Spanish teams leads with 10 UEFA Cup wins since 1972 closely followed by Italy’s 9 triumphs
Rebranding as “Europa League”: in 2009-10 season, UEFA re-branded the tournament as UEFA Europa League and since than it has grown from strength to strength. Although still behind Champions League in terms of prestige and money it holds significant important now as winners get the direct entry to champions league and the prize money is also increased substantially. Lets take a look at history winners of UEFA Cup/ UEFA Europa League.


UEFA Europa League Past Winners Since 1972
YEARWINNERSRUNNERS-UPRESULT
2018
spain.png
Atletico Madrid
MarseilleAtletico Madrid won 3-0
2017
England-cricket-flag.png
Manchester United
AjaxManchester United won 2-1
2016
spain
Sevilla
LiverpoolSevilla won 3-1
2015
spain
Sevilla
DniproSevilla won 3-1
2014
spain
Sevilla
BenficaSevilla won on penalties
2013
England cricket flag
Chelsea
BenficaChelsea won 2-1
2012
spain
Atletico Madrid
Athletic BilbaoAtletico Madrid won 3-0
2011
Portugal
FC Porto
SC BragaPorto won 1-0
2010
spain
Atlético Madrid
FulhamAtletico Madrid won 2-1
2009
ukraine
Shakhtar Donetsk
Werder BremenShakhtar won 2-1
2008
Russia
Zenit
RangersZenit won 2-0
2007
spain
Sevilla
EspanyolSevilla won on penalties
2006
spain
Sevilla
MiddlesbroughSevilla won 4-0
2005
Russia
CSKA Moscow
Sporting LisbonCSKA won 3-1
2004
spain
Valencia
MarseilleValencia won 2-0
2003
Portugal
FC Porto
CelticFC Porto won 3-2
2002
holland
Feyenoord
B. DortmundFeyenoord won 3-2
2001
England cricket flag
Liverpool
D. AlavésLiverpool won via golden goal
2000
turkey
Galatasaray
ArsenalGalatasaray won on penalties
 
1999
italy
Parma
MarseilleParma won 3-0
1998
italy
Inter Milan
LazioInter won 3-0
1997
Germany
FC Schalke
Inter MilanSchalke won on penalties
1996
germany
Bayern Munich
BordeauxBayern Munich 5-1 aggregate
1995
italy
Parma
JuventusParma 2-1 on aggregate
1994
italy
Inter Milan
Casino SalzburgInter won on aggregate 2-0
1993
italy
Juventus
Borussia DortmundJuventus won 6-1 on aggregate
1992
holland
Ajax
TorinoAjax won on away goal rule
1991
italy
Inter Milan
As RomaInter won 2-1 on aggregate
1990
italy
Juventus
FiorentinaJuventus won 3-1 on aggregate
1989
italy
Napoli
VfB StuttgartNapoli won 5-4 on aggregate
1988
Germany
Bayer Leverkusen
EspanyolLeverkusen won on penalties
1987
Sweden
IFK Göteborg
Dundee UTDGoteborg 2-1 on aggregate
1986
spain
Real Madrid
FC KölnReal Madrid 5-3 aggregate
1985
spain
Real Madrid
VideotonReal Madrid 3-1 aggregate
1984
England cricket flag
Tottenham
AnderlechtTottenham won on penalties
1983
Belgium
Anderlecht
BenficaAnderlecht won 2-1
1982
Sweden
IFK Göteborg
HamburgGöteborg 4-1 on aggregate
1981
England cricket flag
Ipswich Town
AZ AlkmaarIpswich won 5-4 on aggregate
1980
germany
Eintracht Frankfurt
B. M’gladbachFrankfurt won on away goals
 
1979
germany
Borussia M’gladbach
Red Star BelgradeBorussia M’gladbach won 2-1
1978
holland
PSV Eindhoven
BatsiaPSV won 3-0 on aggregate
1977
italy
Juventus
Athletic BilbaoJuventus won on away goals
1976
England cricket flag
Liverpool
Club BruggeLiverpool won 4-3 on aggregate
1975
Germany
Borussia M’gladbach
FC TwentyB. M’gladbach 5-1 aggregate
1974
holland
Feyenoord
TottenhamFeyenoord won 4-2 aggregate
1973
England cricket flag
Liverpool
B.M’gladbachLiverpool won 3-2 aggregate
1972
England cricket flag
Tottenham
WolverhamptonTottenham won 3-2
Inter-Cities Fairs Cup
1971
England cricket flag
Leeds United
JuventusLeeds won on away goals
1970
England cricket flag
Arsenal FC
AnderlechtArsenal won 6-1
1969
England cricket flag
Newcastle United
Újpesti DózsaNewcastle won 6-2 aggregate
1968
England cricket flag
Leeds United
FerencvárosLeeds won 1-0 aggregate
1967
croatia
Dinamo Zagreb
Leeds UnitedZagreb won 2-0 aggregate
1966
spain
FC Barcelona
Real ZaragozaBarcelona 4-3 aggregate
1965
hungary
Ferencvárosi TC
JuventusFerencvárosi 1-0 win
1964
spain
Real Zaragoza
ValenciaZatagoza won 2-1
1963
spain
Valencia CF
Dinamo ZagrebValencia won 4-1
1962
spain
Valencia CF
BarcelonaValencia won 7-3
1961
italy
AS Roma
Birmingham CityRoma won 4-2
1958-60
spain
Barcelona XI
Birmingham CityBarcelona 4-1 aggregate
 
Sasa kama ligi bora ni La Liga kwa kigezo hicho basi kila mwaka bingwa wa UCL na Europa angetoka Spain toka mashindano haya yalipoanza miaka ya 1960s
I suspect umeanza kufuatilia soka majuzi tu
haiwezekan kila mwaka ila ukijumlisha vikombe vya ulaya spain wanaongoza tena wamewaacha wenzao mbali sana
 
Jiulize, kwanini spain tu na sio epl kama kweli ni ligi bora!!

Hiyo ni UEFA Europa League Past Winners Since 1972...tukienda Uefa champions league Spain bado anaongoza...
 
EPL nadra sana kutokea hali hio. Bingwa bado hajajulikana,najua tu unavutia kwako city ila liver nae ana chance kubwa ujue

Pia mshindi wa pili na watatu EPL huwa hatabiriki ila La Liga anatabirika mapema tu
mbna mara city mwaka jana katangaza ubingwa mapema kabisa



n hata la liga kuna kipind had mechi ya mwisho kupata bingwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom