Messi anatumika kwa akili sana, anapumzishwa awe fresh kila mechi.
Magoli yake ni ya kiakili sana.
Safi sana hii na huenda Barcelona wakawa mabingwa wakishinda hii mechi.
Jamaa nao wana-attempt
Wanapambana wasishuke daraja hawa levante
Wanapambana wasishuke daraja hao mabwanaJamaa nao wana-attempt kishenzi
Kumbe wapo danger zone?Wanapambana wasishuke daraja hao mabwana
Jamaa wanatusearch sanaa. Duuh
wacha wakurukute... Messi angetupia ka hattrik ivi.. Tuzibe midomo ya marketing ya penaldo















Sisi tutamkunjaSubirilin Liver aje awanyooshe apo apo kwenu
Hahah jamaa kacheza kwa nidhamu sana asiumie![]()
![]()
![]()
![]()
wacha wakurukute... Messi angetupia ka hattrik ivi.. Tuzibe midomo ya marketing ya penaldo
Hawajui kuwa tuna chizi wetu mmj anaitwa Vidal anaharibu mpk FigoSisi tutamkunja



jaman tuseme ukwel akili za Vidal vinaendana kabisa na style ya nywele zake!!!! Yn natamn ck ya mech na liver aanze n mtu anaejitoa kinoma noma