Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,014
Bado nyavu hazijacheza ila game tunaitawala kama kawaida yetuTupe update mkuu, wengine bado tupo kwenye mishe mishe
Bado nyavu hazijacheza ila game tunaitawala kama kawaida yetuTupe update mkuu, wengine bado tupo kwenye mishe mishe
Kwanini mkuu?Liva anaweza tuharibia sherehe uefa kabisa.
Kamanda wangu umemaliza, umeongea fact....hawa tushawazoea, yani Messi aende city, aende psg, aende Juve au bayern atascore 100 goals for season...anang'aa depay, mbappe na balloteli ligi one king atashindwa nini!!!! Anang'aa cuadrado na dybala serie A...anang'aa hadi lwobi na jota Epl?? Eti King hawezi anaogopa 😀😀😀😀 haya mawazo ya kitoto kabisa....
Liva anaweza tuharibia sherehe uefa kabisa.
Jamaa kufanya kipa ashine sana mpaka sasaCoutinho soo close to scoring twice in a minute spanView attachment 1082811
| FOCUS:Jamaa kufanya kipa ashine sana mpaka sasa
Hana upepo ngoja apumzike tu| FOCUS:
Philipe Coutinho had most shots on target (4), big chances created (2), passes in the opp. half (29) and dribbles completed (3) in the first half.
He also hit woodwork once and had 58 touches in total (2nd only to Jordi Alba).
Hana upepo ngoja apumzike tu
Kwani huko Albescete nani anaongoza kwa kufunga magoli mengi katika historia yao?Mkuu wanaouliza swali hilo wana maana yao.
Jiulize ni kwa nini Messi huyo huyo akichezea The Abilescete ana-struggle???