FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

I’m not sure. Ni ligi mbili tofauti.
Ni sawa na kuna watu wanauliza: Je Messi angecheza EPL angengara kama sasa alivyo Barca? I don’t know the ultimate answer.
Kama nilivyosema mwanzo Ter Stangen yuko vizuri sana kasoro footwork
Lakini footwork ya Ederson is unbelievable!
Messi angekuwa EPL timu kama Man city ya sasa au Spurs ndo timu ambazo zingemfaa sana..
 
Footwork kama unamaanisha distribution akiwa na mpira Ter Stergen is second to none its only kwamba somehow Velverde na safety first approach yake ameibana tiki taka kwa kuweka limitations za playing from the back.

Precisely my point! Distribution. Yupo ok lakini distribution ya Ederson ukiangalia na assist zilizozaa goals hana mpinzani
 
Precisely my point! Distribution. Yupo ok lakini distribution ya Ederson ukiangalia na assist zilizozaa goals hana mpinzani
I fell in love with Barca tokana na mpira ulivyokuwa unaanza toka kwa keeper- Velverde ndio amebadilisha hii kitu.Ederson nilmuona kwenye match na Spurs-1 or 2 goals he was to blame
 
I fell in love with Barca tokana na mpira ulivyokuwa unaanza toka kwa keeper- Velverde ndio amebadilisha hii kitu.Ederson nilmuona kwenye match na Spurs-1 or 2 goals he was to blame

Jaribu kuangalia mechi zake zote utamkubali. Likewise I am a big fan of jogo bonito na jinsi kipa anapptoa pasi/distribution na ikawa kama assist ya magoli
Ndio maana hadi leo my favorite goal keeper of all time ni Jose Luis Chilavert who at some point alikuwa akiongoza kwa kufunga magoli kwenye ligi ya Argentina
 
yaan Sterling, aguero, salah , mane, aubameyang wang'are halaf King Messi asing'are hivi huwa mnatumia mantiki gani aisee?
hapo tu amekutana mara chache na team big 6 amezifunga goal 24
kwa miaka 10 wakat Aguero kwa kipind chote hicho hicho amezifunga mara 43

sasa imagine anakutana nao kila leo ingekuwaje?

Kamanda wangu umemaliza, umeongea fact....hawa tushawazoea, yani Messi aende city, aende psg, aende Juve au bayern atascore 100 goals for season...anang'aa depay, mbappe na balloteli ligi one king atashindwa nini!!!! Anang'aa cuadrado na dybala serie A...anang'aa hadi lwobi na jota Epl?? Eti King hawezi anaogopa 😀😀😀😀 haya mawazo ya kitoto kabisa....
 
Jaribu kuangalia mechi zake zote utamkubali. Likewise I am a big fan of jogo bonito na jinsi kipa anapptoa pasi/distribution na ikawa kama assist ya magoli
Ndio maana hadi leo my favorite goal keeper of all time ni Jose Luis Chilavert who at some point alikuwa akiongoza kwa kufunga magoli kwenye ligi ya Argentina

Jose Luis Chilavert, huyu jamaa alikuwa ni habari nyingine.

Huyu jamaa alikuwa ndiye sababu kubwa ya mimi kuangalia game za Paraguay.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom