FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

If Barcelona beat Levante this weekend, Arturo Vidal will win his 8th consecutive league title.

Juventus 2011-15
Bayern Munich 2015-18
Barcelona 2018-19

Unbelievable.
Angekua Ronaldo ingepigwa bonge la marketing wakati akina Abromovic ,Dan Alves ,Artulo wametulia kimyaa
 
Daaah Atletico wameharibu party no problem tunakipata kikombe saa nne kamili Leo usiku
 
Ni kipa mzuri sana na anachonifurahisha ni kuwa anajituma sana na hafungwi mabao ya hovyo. Weakness yake ni footwork. Angepata footwork ya yule kipa wa ManCity basi angekuwa a completele shot stopper
Unadhani huyo keeper wa Man City angekuwa Barcelona angemuweka T Stergen bench??? Reflex za Stergen ni extraordinaire
 
Unadhani huyo keeper wa Man City angekuwa Barcelona angemuweka T Stergen bench??? Reflex za Stergen ni extraordinaire

I’m not sure. Ni ligi mbili tofauti.
Ni sawa na kuna watu wanauliza: Je Messi angecheza EPL angengara kama sasa alivyo Barca? I don’t know the ultimate answer.
Kama nilivyosema mwanzo Ter Stangen yuko vizuri sana kasoro footwork
Lakini footwork ya Ederson is unbelievable!
 
Ndio maana sikutaka kuanzisha-nae ligi, maana itafikia stage nikamsababishia kula Ban bure...so huo utabakia kuwa mtazamo wake binafsi kwa kumshuhudia mechi moja ama mbili tu akifanya vizuri....last matches sidhani kama aliangalia na kumfuatilia kwa umakini.

Ni kawaida mkuu, maana nimeona nisimjibu kabla ya kujua anazungumzia kuanzia lini.

Jibu lake limenielewesha akili zake zilivyo.
 
No messi... Today
IMG_20190427_205650.jpeg
 
I’m not sure. Ni ligi mbili tofauti.
Ni sawa na kuna watu wanauliza: Je Messi angecheza EPL angengara kama sasa alivyo Barca? I don’t know the ultimate answer.
Kama nilivyosema mwanzo Ter Stangen yuko vizuri sana kasoro footwork
Lakini footwork ya Ederson is unbelievable!
yaan Sterling, aguero, salah , mane, aubameyang wang'are halaf King Messi asing'are hivi huwa mnatumia mantiki gani aisee?
hapo tu amekutana mara chache na team big 6 amezifunga goal 24
kwa miaka 10 wakat Aguero kwa kipind chote hicho hicho amezifunga mara 43

sasa imagine anakutana nao kila leo ingekuwaje?
 
I’m not sure. Ni ligi mbili tofauti.
Ni sawa na kuna watu wanauliza: Je Messi angecheza EPL angengara kama sasa alivyo Barca? I don’t know the ultimate answer.
Kama nilivyosema mwanzo Ter Stangen yuko vizuri sana kasoro footwork
Lakini footwork ya Ederson is unbelievable!
Footwork kama unamaanisha distribution akiwa na mpira Ter Stergen is second to none its only kwamba somehow Velverde na safety first approach yake ameibana tiki taka kwa kuweka limitations za playing from the back.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom