Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,869
- 29,031
Barca akishinda mechi ya leo basi atahitaji point 4 tu(ambapo ashinde mechi mbili tu) ili atangaze ubingwa
Kulikuwa na ulazima wa kumchezesha Suarez 90 na dembele kutolewa!?
hatuna sub ya Suarez mkuu ndio maana hatolewagi
Messi angewekwa ata false 9
huku hatuka kelele km ao tia maji tia majiNimekuwa nikifuatilia jukwaa hili kwa muda na nikifikiri kwamba hapa utapata habari zote za barcelona kwa wakati lakini sivyo ilivyo. Kwa mtu anayetaka kupata matokeo ya mechi ya jana kwa mfano hadi muda huu hakuna aliyeyaweka ambapo barca ilishinda mbili kwa moja. Tujitahidi ku-update forum yetu maana kuna forums zipo active kama ya man united. Siku ya mechi ya barca na man u ilibidi niache kufatilia hapa niende forum ya man u. Tunakuja huku kwa sababu si kila mtu an acceaa ya tv kwa muda huo so tulitamani kupata habari za haraka hapa.
Ok ngoja tuone itakuwaje ..presha itakuwa pande zote..Kati ya timu nina uhakika Barca anawaza sana ni Liverpool, same same jinsi Liverpool anawaza kuhusu Barca.
Hii game siwezi kuitabiria ushindi mwepesi Liverpool, ni lazima ipigane.
Tutaona itakavyokuwa.
Tatizo nani wa kumkamata Messi. Ndo hakuna..Jaman game kati ya Liverpool na Barcelona n very very tough hakutakua na mteremko,kocha wetu wa barca anahitaji technical approch katk hii game ...maana ujinga mmj pale barca n kwamba Messi akikamatika no one else who can secure the team!!!
Sasa mkuu kule jukwaa la manure wngi wajuaji ..yani kila mtu mchambuzi ..unaeza dhani ni bonge la timu wanaongelea ..lakini matokeo yao huwa tunakuwa nayo ...Yale unayosoma kule sio uchambuzi, ni ujuaji wao..Nimekuwa nikifuatilia jukwaa hili kwa muda na nikifikiri kwamba hapa utapata habari zote za barcelona kwa wakati lakini sivyo ilivyo. Kwa mtu anayetaka kupata matokeo ya mechi ya jana kwa mfano hadi muda huu hakuna aliyeyaweka ambapo barca ilishinda mbili kwa moja. Tujitahidi ku-update forum yetu maana kuna forums zipo active kama ya man united. Siku ya mechi ya barca na man u ilibidi niache kufatilia hapa niende forum ya man u. Tunakuja huku kwa sababu si kila mtu an acceaa ya tv kwa muda huo so tulitamani kupata habari za haraka hapa.
Hao man u ni viherehere sanaNimekuwa nikifuatilia jukwaa hili kwa muda na nikifikiri kwamba hapa utapata habari zote za barcelona kwa wakati lakini sivyo ilivyo. Kwa mtu anayetaka kupata matokeo ya mechi ya jana kwa mfano hadi muda huu hakuna aliyeyaweka ambapo barca ilishinda mbili kwa moja. Tujitahidi ku-update forum yetu maana kuna forums zipo active kama ya man united. Siku ya mechi ya barca na man u ilibidi niache kufatilia hapa niende forum ya man u. Tunakuja huku kwa sababu si kila mtu an acceaa ya tv kwa muda huo so tulitamani kupata habari za haraka hapa.
Ok ngoja tuone itakuwaje ..presha itakuwa pande zote..
Mtifuano wa sasa hivi hatuna home au away ..popote pale unaeza pigwa ..atakayecheza kwa malengo ndio atakayeshinda..Favor moja kwa Liverpool ni vile game inaanzia ugenini, na uhakika wa away goal ni mkubwa.
Ila game iko tight.
Ya kisasa hata kupanda hayaweziNANI HAYAOGOPI MAJOGOO??
Kua champion juma NNE itategemeana na matokeo ya ATM dhidi ya Valencia. Lasivyo ni hadi jumamosi dhidi ya Levante.Wakuu jumanne tunakua official champions wa laliga stay tuned
Tutacheza na Deportivo Alves
Hii itakua ticket nzuri ya ku focus UEFA kumbukeni hawa jamaa zetu Liverpool kocha wao anaishiaga kua best loser na mwaka huu atakosa vyote pia
Yeah ni Jmos mkuu ambayo ni confirmatoryKua champion juma NNE itategemeana na matokeo ya ATM dhidi ya Valencia. Lasivyo ni hadi jumamosi dhidi ya Levante.
Napo kimahesabu Barca atakua bingwa kwa sababu ya head to head dhidi ya ATM