FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

[emoji23][emoji23][emoji23]
20190409_093612.jpeg
 
Shida ya wabongo nd hii...mpira hauzungumzwi mdomon....dakika 90 unapata matokeo sahihi...sasa nyie mnajipa ushindi wakat mech haijapigwa

Baada ya kocha wa Man u kuulizwa vipi umeonaje game au umejifunza nini baada ya game ya Barcelona na Atletico de Madrid kumalizika? Majibu yake "Kwakweli Messi atabaki kuwa juu tena juuu kileleni 😀😀😀 pia bila kusahau juu tena juuu mawinguni" 😀😀😀

Messi atawanyoosha mtake msitake
 
Hii Robo fainali iishe tu tujue moja mana maneno ni mengi mno
Baada ya kocha wa Man u kuulizwa vipi umeonaje game au umejifunza nini baada ya game ya Barcelona na Atletico de Madrid kumalizika? Majibu yake "Kwakweli Messi atabaki kuwa juu tena juuu kileleni [emoji3][emoji3][emoji3] pia bila kusahau juu tena juuu mawinguni" [emoji3][emoji3][emoji3]

Messi atawanyoosha mtake msitake
 
Messi akishindwa kuamua ushindi wetu basi smalling will.
Baada ya kocha wa Man u kuulizwa vipi umeonaje game au umejifunza nini baada ya game ya Barcelona na Atletico de Madrid kumalizika? Majibu yake "Kwakweli Messi atabaki kuwa juu tena juuu kileleni [emoji3][emoji3][emoji3] pia bila kusahau juu tena juuu mawinguni" [emoji3][emoji3][emoji3]

Messi atawanyoosha mtake msitake
Hii Robo fainali iishe tu tujue moja mana maneno ni mengi mno
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom