Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,319
- 201,540
Umtiti yupo..japo last match alichoma sanaPique booked... Nxt match hayupo.. Kabaki suares nae ana njano
Mbwa haoHawa jamaa ni wasenge, De Madrid wapo pungufu na bado wanashindwa kuwafunga aisee hii mitimu mingine inatia hasiraa!
Boya ni yule ambaye tulimlowanisha Mara mbili mfululizo ndani ya week moja tena ground ya nyumbani kwaoHawa jamaa ni wasenge, De Madrid wapo pungufu na bado wanashindwa kuwafunga aisee hii mitimu mingine inatia hasiraa!
Hawa jamaa ni wasenge, De Madrid wapo pungufu na bado wanashindwa kuwafunga aisee hii mitimu mingine inatia hasiraa!
The late show
Mbili bilaa
Adi dakika ya 80 man of the match alikua oblack
Nini kinatokea hapa kati? Messi ni jini, sio binadamu huyu
Sent using Jamii Forums mobile app
In short sisi ndio mabingwa tena wa Laliga 2018-19
Ndani ya miaka 13 tunachukua Mara 11
Hii ndio siri ya mchezo wa Leo,yaani kushinda ilikua lazima so .....TUNA FOCUS UEFA be scared be scared man U ....gani chupi za chuma...kama unabisha muulize Jan Oblack Leo...watu wamepitisha pale pale lanapopovuja jasho
Bila kupiga lile goals nilishaandaa matusi ndoo mbiliwakati mwengine utasema huyu suarez kuna haja gani ya kumaliza dk 90 lakini mwisho wa gem ndio unashindwa kumsema kwa ubaya